BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,047
Strategic Petroleum Reserve:
Ndani ya kipindi cha miaka 13 SPR imeporomoka mpaka kufikia pipa 269 million kiwango cha chini kabisa tangu 1983.
Na week iliyopita US iliongeza pipa 600,000 kwenye SPR kwaajili ya kuendelea kujazia reserve.
Kwa upande mwingine bei ya Brent crude oil imeizidi kupaa kwa kasi sana na kufikia $95 kwa pipa.
Licha ya juhudi zote zilizofanywa na US kwa kushirikiana na mataifa makubwa kiuchumi (G7) pamoja na Umoja wa Ulaya (EU) katika kudhibiti bei za mafuta lakini bei zimezidi kupanda kila siku.
Tunakumbuka nchi hizi ziliweka bei kikomo ya mafuta (Price cap) sizidi $60 kwa pipa.
Wachumi na wabobezi wa masuala ya biashara wanasema kuna uwezekano bei za mafuta kufikia $140 kwa pipa mpaka December.