Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 1,161
- 1,399
Unapiga marufuku mikutano ya kisiasa kwamba unawakomoa wapinzani mwisho wa siku na wewe unajikuta unahitaji mikutano kusema unachokifanya. Njia mbadala ndo hizo za kuwakusanya watu kwa matukio ya maCEO wa makampuni kuwa ya kitaifa.