Kilawo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 1,486
- 2,454
Lakin akumbuke vijana wamejazana mtaani hakuna ajira BET tu !Muacheni Rais wetu mzalendo afurahie matunda yake. Watanzania sijui tuna nn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin akumbuke vijana wamejazana mtaani hakuna ajira BET tu !Muacheni Rais wetu mzalendo afurahie matunda yake. Watanzania sijui tuna nn.
Huyu mzee mwambieni ni upunguwani kubeba serikali nzima kwa airbus ya kubeba watu 100 kenya na ethiopia wana dege zenye ghorofa huyu fala angekesha airport mwezi akiisubiri acheni ushamba munadharilisha nchiChadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.
Kama vile kuna kaukweli vileUpo sahihi, tunaonekana washamba sana, waziri alikuwa anatosha, Rais alipopokea dreamliner ilitosha kabisa. Sasa kila ndege tunapokea nama coverage kibao. Duh!!
Kama hii nayo ni hoja basi jamii forum inapoteza mvuto... tuleteeni vyenye mashiko pleaseMimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!
Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.
Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?
Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.
Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
ila kwa jinsi mlvyomtukana mzee wa msoga ktk awamu yake ile,achen tu huyu jamaa atambe tuMimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!
Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.
Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?
Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.
Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!
Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.
Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?
Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.
Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Samwel tunazungumzia nchi, wewe mbona huelewi?Mtapata tabu sana, kwan kuna ubaya gani rais akienda kuipokea.
Mbona Mwenyekiti wa taifa na Cabinet yake walienda kuzika mbwa wa Nassari lakini Ukerewe hawakwenda?
Kupanga ni kuchagua kama unaona ni vibaya rais kupokea lala tu nyumban au fanya mambo yako.
Hivi hata shule ya kata umehudhuria wewe? Halafu vijana mnalalama kuhusu ajira! Kwa akili hii hata kampuni ya mazishi kitengo cha uchimbaji makaburi kukupa ajira ni nadra sanaChadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.
Fanya ka research kadogo hao watu wenye mashati ya kijani wanaojaza viti wanakujaje hapo airport na TOT wanalipwa ngapi kisha rudi JF utueleze point yako.Kwani amealikwa ama ndie aliyewaalika wengine kwenye tukio hilo?
Sasa sijui kama kuselebuka kutaendelea kama kawaida na zile 'percussion' za kuvuja mtu jasho zipo! Akina Majaliwa mwaka huu vitambi vitayeyuka kwa 'phyico' za hali ya juu.
Ngoja basi nikuchochee kidogo labda tutaelewana au kama sio kuvurugana kabisa kwa hoja yako hii:
"Hii ni Tanzania mpya" unaelewa maana yake? Kampeni ndio hizo shaanza, waliolala usiwaamshe.
'Interest' ni hayo tu mkuu, tusilaumiane kwa mchanganyo.
Kwahyo hapo unajiona umeuliza swali?
Ni ushamba wa vitu tu, rais mzima anashinda airport kisa ndegeMuacheni Rais wetu mzalendo afurahie matunda yake. Watanzania sijui tuna nn.
Ndio maana nikamwandikia huyo mleta hoja 'Interest' kuhusu 'kuvurugana'. Inaelekea 'Chakaza' ndio kaingia kichwa kichwa na 'kuvurugika' asijue nini maana ya niliyoyabandika hapo!Fanya ka research kadogo hao watu wenye mashati ya kijani wanaojaza viti wanakujaje hapo airport na TOT wanalipwa ngapi kisha rudi JF utueleze point yako.
CCM is dying kiroho imebaki kitumbo tuu maana mk. unahitaji kwenda chooni daily. Sasa kura zinatoka rohoni (moyoni) na sio mk...ni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba unasaidie-Una elimu ya kiwango gani? Maana naona unajichanganya sana-Kwanza umeshasema ni ilani ya ccm,je ilani ya kikwete na mkapa nazo zilikuwa na ununuzi wa ndege? kama hazikuwepo unajuaje kama wasinge weza kufanya zaidi ya hii ya Msukuma wako? Unajua huyo msukuma wako alipata umaarufu kwa kusimamia ujenzi wa barabara za lami wakati wa mkapa na wakati wa kikwete?Kama watu walikuwa wanakula bata kodi zetu unadhani hiyo hela ya kujenga hizo barabara alizokuwa anasimamia msukuma wako zilikuwa zinatoka wapi?Bungeni JPM alipohutubia aliongelea vipaumbele vyake, akasema tuna shirika la ndege lenye ndege moja tu lakini wafanyakazi wapo mia mbili.
Ni suala la ilani ya CCM, ni kipaumbele. Kumbuka pia siku ndege ya kwanza inaingia, yalisomwa matatizo yaliyosababisha ATCL ikayumba kabla ya awamu ya tano.
miaka mitatu ndege saba, ni muunganiko wa uimara wa JPM pamoja na uwezo kikazi wa wataalam wake. Ni kweli ni kodi zetu lakini si ndio hizi hizi kodi zetu ambazo miaka ya nyuma watu walikuwa wanazitumia kula bata?.
Si ni hizi hizi kodi zetu ambazo miaka ile chai na vitafunio vya kwenye halmashauri zilikuwa zikitumia mabilioni ya pesa?.
Magufuli hajaja na uchawi wowote ule,alichokifanya kupeleka hela mahali penye umuhimu. Unakumbuka wabunge walitaka wafanye sherehe ya usiku moja yenye kutumia shilingi milioni 300?, Zikatumika milioni 15 tu nyingine zikaenda kununua mashuka ya muhimbili.
Mkuu kwa hiyo wewe unaumia sana unapoona ndege zinanunuliwa?. Inawezekana halikuwa jambo lililoandikwa kwenye ilani enzi hizo.Mkuu naomba unasaidie-Una elimu ya kiwango gani? Maana naona unajichanganya sana-Kwanza umeshasema ni ilani ya ccm,je ilani ya kikwete na mkapa nazo zilikuwa na ununuzi wa ndege? kama hazikuwepo unajuaje kama wasinge weza kufanya zaidi ya hii ya Msukuma wako? Unajua huyo msukuma wako alipata umaarufu kwa kusimamia ujenzi wa barabara za lami wakati wa mkapa na wakati wa kikwete?Kama watu walikuwa wanakula bata kodi zetu unadhani hiyo hela ya kujenga hizo barabara alizokuwa anasimamia msukuma wako zilikuwa zinatoka wapi?
Mkuu wewe ndo unasema mini naumia kwa ununuzi wa ndege-mimi siumii ila nakataa mnampaisha msukuma wenu while utendaji kazi wake upo sawa sawa na wengine tu au hata below.Unasema kipindi kile pesa zilipigwa sana ukilinganisha na kipindi hiki,hebu tupe mrejesho wa 1.5T, tuambie why no audit kwenye ununuzi wa ndege?Je CAG hajawahi kubaini upigaji serikalini since 2015?Mkuu kwa hiyo wewe unaumia sana unapoona ndege zinanunuliwa?. Inawezekana halikuwa jambo lililoandikwa kwenye ilani enzi hizo.
Kumbuka kuwa ilani sio msahafu, hubadilika kutokana na mahitaji ya nchi ya wakati fulani. Huwezi kuwa na nchi yenye viwanda ambayo haifikiki kwa njia zote kwa maana ya angani na ardhini.
Barabara zilijengwa kwa hela ya kodi lakini watu walipiga sana kulinganisha na leo hii. Kulikuwa na madudu mengi tu. Matanuzi ya kijinga yalikuwa mengi, sasa hivi hela inapominywa inakwenda kufanya kitu kinachoonekana.
Una uhakika no audit kwenye ununuzi wa ndege? Hiyo 1.5 ilishatolewa maelezo tena ndani ya bunge.Mkuu wewe ndo unasema mini naumia kwa ununuzi wa ndege-mimi siumii ila nakataa mnampaisha msukuma wenu while utendaji kazi wake upo sawa sawa na wengine tu au hata below.Unasema kipindi kile pesa zilipigwa sana ukilinganisha na kipindi hiki,hebu tupe mrejesho wa 1.5T, tuambie why no audit kwenye ununuzi wa ndege?Je CAG hajawahi kubaini upigaji serikalini since 2015?
Upigaji gani huko nyuma haukuwahi kutolewa maelezo_na hayo maelezo anapewa na kwa kusudi gani?-wote wezi tu-huyu anawazidi wengine kwa PA tu and nothing easyUna uhakika no audit kwenye ununuzi wa ndege? Hiyo 1.5 ilishatolewa maelezo tena ndani ya bunge.
Mkuu Ngosha yupo tofauti na hao waliomtangulia, yuko njema sana. Miaka hiyo ya JK na BWM lini ulisikia mamlaka mbalimbali zinapeleka gawio serikali kuu?. Lini ulisikia manunuzi ya rada nne zinazofungwa nchi nzima?.' Kwa taarifa yako rada zote nne zikianza kazi mapato ya taifa yataongezeka kuliko sasa.
Siwadharau waliomtangulia, kilichowakwaza ni zile siasa za makundi ndani ya chama, huyu kaweza kuyavunja makundi yaliyomtesa JK. Utendaji wa Ngosha upo tofauti na waliomtangulia, anao udhaifu wake lakini anajituma sana.