Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

Inakuuma nini, wewe si rais wako ni mbowe.
Sasa huyu anakuhusu nini si mumuache aboronge ili mumuangushe mumuweke membe wenu au?

Kazi ya chadema imeporomoka toka chama cha upinzani, hadi genge la wambea watoa matusi mitandaoni loh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ba =VICHAA wameishiwa hoja sasa ni kupinga pinga tu.
Wao si wanaye rais wao mbowe!
Sasa huyu anawahusu nini kama sio bange tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi ila kwa mafanikio anayofikia mtu, watu au taasisi kila mmoja ana namna yake ya kufurahia.
Kama mtu anajenga nyumba akimaliza anaita watu kuzindua haimaanishi hakuna mtu ambaye hana nyumba ila ameona kwa mafanikio hayo basi afurahie kwa namna hiyo.
Ni aina tu ya namna ya kupokea jambo. Na kumbuka namna ya mapokezi ya jambo haiwezi ikawa sawa hata kidogo. Usiogope kufanya unayoyaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Kiongozi kwa kuweka exact figures. Bado nimeangalia fleet size ya KQ kwenye source mbili. Moja inasema 40 na nyingine 44.
Bado issue yangu iko pale pale. Wangehitaji siku ngapi kuzipokea?
 
Daah,naipenda sana nchi yangu,hua naitetea sometimes najua tunakosea ila ndo uzalendo huo,ila hizi party za kupokea ndege daah,sinui kwa nini naona kweli tunachoreshana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
teh teh teh teh..............................
 
Vituko sn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Sasa kaka tukiongozwa na mwanakijiji mshamba flan hivi unatarajia nini?
 
Huu ni ushamba man. Urais ni taasisi kubwa man. Kama kila kitu atapenda aonekane yeye, vipi wa chini yake? Wao wataonekana kwenye Nini?
 
Ona unavyojichanganya!
 
Miaka mitatu ndege sita, hawaamini wanachokiona. Wivu unawatesa.
Mkuu tusaidie kujua Ethiopian Airline-please note:sisemi serikali ya Ethiopia,Ethiopian Airline iliwachukua miaka mingapi kununua ndege mia walizonazo sasa?unaruhusiwa pia compare resources walizonazo Ethiopian Airline VS Tazania Government
 
Mkuu tusaidie kujua Ethiopian Airline-please note:sisemi serikali ya Ethiopia,Ethiopian Airline iliwachukua miaka mingapi kununua ndege mia walizonazo sasa?unaruhusiwa pia compare resources walizonazo Ethiopian Airline VS Tazania Government
Kabla ya kufanya comparison kumbuka kuwa kilichoifanya ATCL isikue ilikuwa ni siasa za wanasiasa wa kibongo. Political will haikuwepo, sasa hivi ipo, sasa hivi kina Johari na Matinyi wapo huru kufanya kazi kitaalam.

Hapo ndipo JPM anapojitofautisha na waliomtangulia pale Magogoni. Kutambua maana ya utaalam wa mtu na umuhimu wake kwa taifa. Hizi ndege 100 tutakuja kuwanazo, cha muhimu tusiupoteze huu uhuru wa wataalam kufanya kazi wanayoijua vyema.
 
Inanishangaza pia.Mambo madogo madogo hayo ni ya kuwaachia mawaziri wake tu.Kinachonishangaza zaidi ni kwamba utafikiri awamu zilizopita hazijafanya mambo makubwa zaidi ya haya anayoyafanya kwa namna anavyojitangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…