safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,164
- 15,848
afande wangu swali mstari mmoja jawabu unajibu kurasa nzima.Kwani lazima? Na kwanini unaonekana Kuteseka sana na Mafanikio ya ghafla na Kuinuliwa Kimamlaka kwa Afande Charles Mbuge Ndugu? au na Wewe ndiyo wale wale mliokuwa mkinyanyasa Baba wa Watu Kipindi kile alipokuwa pale Mlalakuwa na hadi alivyohamishiwa Ruvu? Basi kwa sasa ndiyo mtamkoma na Mwenyezi Mungu anawaumbueni hapa hapa kwa Kumuinua na nyie Kubakia hapo hapo. Tubuni upesi na muanze Kujipanga Kupanga Mistari ya kwenda Kumuomba Msamaha. Mna bahati Baba wa Watu huwa hana Malipizi ( Visasi ) ila hili ' Zali ' ndiyo lingenikuta Mimi ' Maadui ' zangu wote mngenikoma na ndipo mngejua ni kwanini Wimbo wa Taifa hadi leo hauna Video na kwanini Nyoka hana Ugoko.
sio kwa mapenzi hayo afande.
tumekuelewa afandeeeeeeee