mdukuzi JF-Expert Member Jan 4, 2014 16,059 35,972 Mar 23, 2021 #22 Hujui kuandika bro yaani ni aibu kwa taifa
edwayne JF-Expert Member Apr 5, 2013 8,879 9,678 Mar 23, 2021 #23 Huko mwisho mbona umekuwa kama mkalimani
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Jul 27, 2017 7,923 13,412 Mar 23, 2021 #24 Ushauri wa bure; Ukitaka kuoa/kuolewa kisha ikatokea ndugu/wazazi upande wa pili wakaweka pingamizi lolote USIOE/KUOLEWA TENA Achana na maneno sijui mnaoana nyie, hilo halipoo ndoa ni taasisi na ni mali ya jamii sio yenu, vyenu ni hizo nyeti tu.
Ushauri wa bure; Ukitaka kuoa/kuolewa kisha ikatokea ndugu/wazazi upande wa pili wakaweka pingamizi lolote USIOE/KUOLEWA TENA Achana na maneno sijui mnaoana nyie, hilo halipoo ndoa ni taasisi na ni mali ya jamii sio yenu, vyenu ni hizo nyeti tu.
2019 JF-Expert Member Dec 31, 2018 2,982 4,458 Mar 24, 2021 Thread starter #25 Mgeni wa Jiji said: Ushauri wa bure; Ukitaka kuoa/kuolewa kisha ikatokea ndugu/wazazi upande wa pili wakaweka pingamizi lolote USIOE/KUOLEWA TENA Achana na maneno sijui mnaoana nyie, hilo halipoo ndoa ni taasisi na ni mali ya jamii sio yenu, vyenu ni hizo nyeti tu. Click to expand... Hata mimi naona
Mgeni wa Jiji said: Ushauri wa bure; Ukitaka kuoa/kuolewa kisha ikatokea ndugu/wazazi upande wa pili wakaweka pingamizi lolote USIOE/KUOLEWA TENA Achana na maneno sijui mnaoana nyie, hilo halipoo ndoa ni taasisi na ni mali ya jamii sio yenu, vyenu ni hizo nyeti tu. Click to expand... Hata mimi naona
Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,143 20,787 Mar 24, 2021 #26 Sijui umeandikaje! Hata kama kuficha code sio kiiivi.. Doh!!
Shadow7 JF-Expert Member Sep 28, 2020 13,800 20,210 Mar 24, 2021 #27 GEMBESON said: 3. Mtoa mada amesimulia story yake binafsi huku akidanganya ni ya Rafiki yake mara ndugu wa karibu na kusababisha story isieleweke Click to expand... π π π π
GEMBESON said: 3. Mtoa mada amesimulia story yake binafsi huku akidanganya ni ya Rafiki yake mara ndugu wa karibu na kusababisha story isieleweke Click to expand... π π π π