Kupitia kisa hiki, kama mume ungechukua hatua gani? Wanawake Je huyu mwenzenu yuko sahihi?

Ushauri wa bure; Ukitaka kuoa/kuolewa kisha ikatokea ndugu/wazazi upande wa pili wakaweka pingamizi lolote USIOE/KUOLEWA TENA

Achana na maneno sijui mnaoana nyie, hilo halipoo ndoa ni taasisi na ni mali ya jamii sio yenu, vyenu ni hizo nyeti tu.
 
Hata mimi naona
 
Back
Top Bottom