Ikiwa kwenye C majibu ndio ipo inakuwaBaada ya kufika miaka 35 plus ndiyo nimekuja kugundua ni kwa namna gani afya ni mtaji mkubwa sana.
Ukipata chronic diseases na ukawa bado unajitafuta ujue ndiyo basi tena.
NB: Hiko ni cha kwangu mkuu.
Shida una shortage of knowledge mkuu.RIP CLASSMATE
Hongera sana 👊Baada ya kufika miaka 35 plus ndiyo nimekuja kugundua ni kwa namna gani afya ni mtaji mkubwa sana.
Ukipata chronic diseases na ukawa bado unajitafuta ujue ndiyo basi tena.
NB: Hiko ni cha kwangu mkuu.
Hakikisha na mke anapima, maana sikuhizi hauchagui pa kuingilia mkuuBaada ya kufika miaka 35 plus ndiyo nimekuja kugundua ni kwa namna gani afya ni mtaji mkubwa sana.
Ukipata chronic diseases na ukawa bado unajitafuta ujue ndiyo basi tena.
NB: Hiko ni cha kwangu mkuu.
Ombeni msaada muelekezwe namna ya kuvisoma wakuu.Ikiwa kwenye C majibu ndio ipo inakuwa
Pm hapana mkuu,wanajf mnamatusi mnoMama mshauri hujibu pm yangu
MKuu hivi virus vimeshiba mbona ndio maana vimegomea hapo kwenye control..Shida una shortage of knowledge mkuu.
Omba uelekezwe namna ya kuvisoma hivyo vidude.
Amina, AminaHongera sana na wewe mkuu..
Tuendelee kujitunza.
Kumbe nimelewa 😂.Ombeni msaada muelekezwe namna ya kuvisoma wakuu.
Mstari ukitokea mmoja, kwenye Control (C), basi jua uko NEGATIVE.
Mistari ikitokea miwili, kwenye Control (C) na kwenye either 1 au 2, basi jua uko POSITIVE.
Huoni mstari ulivyonenepa apo.Hakikisha na mke anapima, maana sikuhizi hauchagui pa kuingilia mkuu
Anaachaje sasa mkuu.Hakikisha na mke anapima, maana sikuhizi hauchagui pa kuingilia mkuu
Acha masihara basi mkuuHuoni mstari ulivyonenepa apo.
Vizuri mkuu 👊Anaachaje sasa mkuu.
Nilishamuambia haya maisha yana furaha mkiwa wazima wa afya.
Siku mmoja wetu akiukwaa ajue ndiyo maisha yanakuwa yameshakosa maana.
Wee miyeyusho 😂MKuu hivi virus vimeshiba mbona ndio maana vimegomea hapo kwenye control..
Yani apa nipo na wajomba wanauliza kwamba tunazika au tunasafirisha😂
Nawe hakikisha shemeji yetu anapima.Vizuri mkuu 👊