Kupigwa kipara hadharani

Bujibuji dah utawakamata wengi kwa hili aise wengi watakimbilia wakijua ni kipara kileeee
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona huo ni mkasi wa kukatia maua/michongoma? Wait a moment, huo mkasi unafaa sana angepewa makamu wa rais kwa ajili ya kazi yake kuu ya kukata utepe/uzinduzi. Yaani jinsi ulivyo atautumia toka uchanguzi mpaka uchaguzi unaofuata bila kununua mwingine!
 

mmh! huu hauingii mfukoni mwa suti !!!
 

Kweli mmeanza kuwakota!!!!
 
Nilivyoona ni jukwaa la pich nkajua tu itakuwa "kupigwa kipara" cha kawaida!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…