Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,706
- 155,293
waache tuwaokote
Jamani mbona huo ni mkasi wa kukatia maua/michongoma? Wait a moment, huo mkasi unafaa sana angepewa makamu wa rais kwa ajili ya kazi yake kuu ya kukata utepe/uzinduzi. Yaani jinsi ulivyo atautumia toka uchanguzi mpaka uchaguzi unaofuata bila kununua mwingine!
unataka kumpa yule mtalii mwenye wake watatu?mmh! huu hauingii mfukoni mwa suti !!!
basi nimekutupa, watakuokota wale wanaokusanya takatakaMi huwezi kuniokota kama ndio lengo lako la kuwakota watu humu ndani
Jamani mbona huo ni mkasi wa kukatia maua/michongoma? Wait a moment, huo mkasi unafaa sana angepewa makamu wa rais kwa ajili ya kazi yake kuu ya kukata utepe/uzinduzi. Yaani jinsi ulivyo atautumia toka uchanguzi mpaka uchaguzi unaofuata bila kununua mwingine!
basi nimekutupa, watakuokota wale wanaokusanya takataka
unataka kumpa yule mtalii mwenye wake watatu?
ni utamu umezidi au una uchu hadi unaguna?mmmmmmmmmmm!
hiki sio kipara cha kawaida, kipara kwa mkasi wa michongoma??? Au kwenu ni kawaida??Nilivyoona ni jukwaa la pich nkajua tu itakuwa "kupigwa kipara" cha kawaida!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
basi nimekutupa, watakuokota wale wanaokusanya takataka
Umeniokota aisee Bujibuji