Kama ni voda, akiwa hana salio la kutosha huwezi kumpata kwa sababu wanamkata salio kupokea simu. Lazima awe na salio ili aweze kupokea simu. N a ni gharama kubwa kwa yeye kupokea simu akiwa nje ya nchi, ni nafuu akupigie. Unaweza kumtumia vocha kisha yeye ndio akupigie. Au mwambie atumie Airtel kwa sababu Voda na Tigo wanakata salio kwa mpokeaji wa simu aliye Kenya au Uganda.