Mapenzi hayaigwi jamani. Na kila uhusiano una challenges zake, including hawa. Kuna mtu ana mapenzi ya ukweli na ya dhati na hakumbuki kubusu ama kushika kiuno hadharani. Na yupo ambae anampiga mkewe sirini ama anamuibia hela mumewe na ukiwakuta hadharani hautaamini.
Kuna mtu ni serial cheater lakini at the same rate anayoonyesha mapenzi kwa mwenza wake ndo anafanya hivyo hivyo kwa wa nje! Hukawii kukuta mama salma anapendwa na mumewe kuliko huyu michelle. You never notice what you have until you loose it all, just saying