Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #101
Nimeshindwa kuandika stori kwani watu kazi ni kupiga tuu.Hahahahahaha dah kweli jf kiboko kumbe watu mshafanya kweli dah nimefurahi sana yani saana mpaka navyoandika msg hii nacheka peke yangu
Mpaka sasa nimepokea call 15