Kupendwa raha jamani

Kupendwa raha jamani

mie nna allergy nikikupenda na nikihisi unajishau ntateseka ila nikitoka hapo kwenye mateso ya kukusahau, hata uje bila nguo jibu ni big NO hua nashangaa sanaa kuona mtu mwanamke au mwanamme amemkata halafu anarudiana nae hua nashindwa kufahamu wanatumia dawa gani...
Mimi huwa nkipenda na Mimi napenda mkuu.
Natumia kanuni ya;
Ikiwaka unamulika na ikizima unapapasa.

Siwezi kujishaua na mtu niliyejiridhisha ananipenda haijalishi anamapungufu gani. Anamwonekano upi.

Niliahidi nitamlinda atakayenipenda
 
Back
Top Bottom