Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #121
Sawa mkuuKwa utunzi huo jitahid utatoka
Sawa mkuuKwa utunzi huo jitahid utatoka
Kazi ipo huku.
Sema kuna watu humu wameotea namba na wanaongea nae hapa.
Kuna mmoja jina nalihifadhi kasema eti yeye anaundugu na Bashite. Yaani hapa nabaki kucheka tuu
jf kiboko yan nmeshindwa kujizuia kuchekaHatari Sana Mkuu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
jf kiboko yan nmeshindwa kujizuia kucheka
Khaa kumbe mafisi wengi hvo
Endelea buanaaa....sasa mm arafa wa nn wakt ni mwanamke mwenzangu au ndo gia zako hzoHatari Sana Mkuu.
Hapa nilipo nmeshindwa kuandika Stori tena.
Embo Kama wewe unataka kuongea na Arafa njoo Pm nambie ungefanyaje

HahahaaSterling kaenda kuombewa mkuu




Mkuu jaribu Kilimanjaro...... Ila kwa maelezo yake anadai walifikia hotel ya Liverpool lakini kampuni ya Mabasi niliyokutajia inawapumzisha abairia wake Kwenye hotel yao pale Korogwe na mtu haruhusiwi kuingia na chakula humo ndani. Daah, ngoja tuguess bus lingine. Labda Tahmeed.Basi gani ulipanda mkuu kutoka moshi kuja dar?
Nami mimi nikalipande nikae dirishani kwani wakina Arafa bado wapo wengi...![]()
Naendelea Mkuu.Endelea buanaaa....sasa mm arafa wa nn wakt ni mwanamke mwenzangu au ndo gia zako hzo![]()
Kilimanjaro Mkuu.Basi gani ulipanda mkuu kutoka moshi kuja dar?
Nami mimi nikalipande nikae dirishani kwani wakina Arafa bado wapo wengi...![]()
Umepatia mkuu.Mkuu jaribu Kilimanjaro...... Ila kwa maelezo yake anadai walifikia hotel ya Liverpool lakini kampuni ya Mabasi niliyokutajia inawapumzisha abairia wake Kwenye hotel yao pale Korogwe na mtu haruhusiwi kuingia na chakula humo ndani. Daah, ngoja tuguess bus lingine. Labda Tahmeed.
siri wake za watu nakula milupo ambayo haina ndoa wala haijatolewa barua ya posa. Mke wa mtu sumu babu yangu aliniambia toka nina miaka mitanoAaah aaah duu we jamaa penda penda tayar imekua project...istoshe mla wake za watuu
Si kweli lkn mkuu mm nimesoma mpk abdala kichwa wazi amepiga salutiMkuu nimecheka Sana mkuu
Kweli Mkuu.Haa haa haa
Umenikumbusha
Mbali kwan hakuna
Mtongozo mzur kama
Wa kwny safar aiseeee
Yan mtt hachomoi
Otherwise uwe tu domo zege
Hotel ya Liverpool ilikua chopaa zaman bhana
Now imechoka kupta kias
Khaa! ndugu unataka kun popobawa nn? Hata avata huioniHello sweety
Dha!!! Itakua dereva alikua mgeniKweli Mkuu.
Liverpool zaman bhana nashangaa lile Basi liliingiaje Hotel ile kwani wana Hotel yao pale korogwe
Hahahahaaa!!Si kweli lkn mkuu mm nimesoma mpk abdala kichwa wazi amepiga saluti
Khaa! ndugu unataka kun popobawa nn? Hata avata huioni
Ni kweli Mkuu.Dha!!! Itakua dereva alikua mgeni
Mkuu hyo hotel haina hadhi kabsa mkuu
Kwa sasa bora Kilimanjaro now ikosawa