Kupendwa kwa sababu ya fedha

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,097
Reaction score
62,048
Kutokana na changamoto za maisha au ugumu wa utafutaji,imepelekea mapenzi ya kweli kupotea.Unaweza kufikiri unapendwa kweli,kumbe unapendwa kwa sababu unalipa bill.Swali la kujiuliza,pale utakaposhindwa kulipa bill itakuwaje?Tuwe makini katika kutafuta wapenzi....
 
Nilipokuwa naanza hizi mambo nilikuwa namfanya mwanaume kama ndo baba kwangu(nadhani coz sijawahi pata mapenz toka kwa baba alikufa ningali mdogo a k a mchanga) nilikuwa nampenda mwanaume toka moyoni ndani kabisa,sikuwahi nyanyua mdomo wangu ati NAOMBA HELA ...NOO.Nilivyokuja umizwa kisenge aisee...ushawahi mwona kitimoto akikoswa rungu LA kichwa anavyotimka.I started to be a GOLD DIGGER!
 
Unawakomoa sio?
 
ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…