Kwa hiyo unakubali kujaliwa tu au inabidi na wewe uanze kufanya kazi ya ziada kumletea vizawadi?
Ndio upendo wenyewe huo mkuu, wala usitie shaka.Akina mama tuna mambo, mengine wafanye wanetu wa sekondari, mtu mzima unabaki huh!?!
Hahahahah
Niliwaambiaga wadada fulani kuwa sitaki mazoea maana ndio kutafutana umbea, nilinuniwaje????
Niliwahi kumwambia mmoja, wengine wakaona nime over react, nikajisemea labda kweli.
Kuanzia siku hiyo sisemi, lakini nipo nipo tu.
Na mfanyakazi mwenzangu aliniambia niko 'mean', sijui nakosea wapi.
Mi nikiwa chuo nilizoeana na mwanamke fb, amenizidi sana kiumri na ana mume na watoto wawili..akawa ananipa pocket money,kabum kakichelewa hata sina mawazo...nilitokea kumuamini maana tulikuwa tukichat kama kigrup fulani hivi na kati ya hao kuna watu wanamfahamu personaly..... Alintumia nauli nikaenda hadi kwake...mkoa mwingine mbali kabisa (yan sijui nlijiamini nini) japo nlikuwa na mashaka kidogo lakini sijawahi kusikia jambo baya kutoka kwake....mpaka leo ni rafiki yangu na amekuwa kama ndugu. Akipita hapa ndo nmesha-reveal id yangu loh though alisema ye hayupo jf
Imagine me mwensio anakuletea vizawadi zawadi bila mpango, unajisikiaje?
Vipi akiwa wa jinsia tofauti unaichukuliaje, sina maana anakutingoza, ila anakuwa karibu na msaada sana, vijizawadi zawadi kidogo...
Wanaume hatuna utaratibu huo wa kupeana 'vijifti'....
Mara nyingi watu hupeana ofa za chakula, vinywaji lakini sio kupeana 'vijifti'...
Bora hizo, mnakaa bar, mnanunuliana kinywaji inaisha. Sio mtu anakuja na 'supriseee sijui chokleti au keki'.
Mi nikiwa chuo nilizoeana na mwanamke fb, amenizidi sana kiumri na ana mume na watoto wawili..akawa ananipa pocket money,kabum kakichelewa hata sina mawazo...nilitokea kumuamini maana tulikuwa tukichat kama kigrup fulani hivi na kati ya hao kuna watu wanamfahamu personaly..... Alintumia nauli nikaenda hadi kwake...mkoa mwingine mbali kabisa (yan sijui nlijiamini nini) japo nlikuwa na mashaka kidogo lakini sijawahi kusikia jambo baya kutoka kwake....mpaka leo ni rafiki yangu na amekuwa kama ndugu. Akipita hapa ndo nmesha-reveal id yangu loh though alisema ye hayupo jf
Dah kweli asee
Utadhani umeniona vilee
Nina jirani yangu hapa yani ye bila kuja kwangu siku yake haiendi
Na miye sinaga story
Basi naona kero kwelikweli!!!
Aaah jirani kumbe nakukera...