To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,173
- 34,337
mi nahisi
mi nahisi
mkuu vaa helmet make hawachelewi kuanza kukutupia mawe.
Delta Force










Sasa haya ni mavazi au anatembea uchiTatizo ushindani baba, wanawake wako wengi, wanaume wachache (heterosexual), ili kujiuza lazima wavae kihivyo, utashangaa mwanamke kavaa nusu uchi kabisa lakini anakwambia hana shida ya mwanaume!
Tazama hizi picha za mavazi, zaitwa (Vagina Cleavage)! Ni hatari tunapoelekea kwa kweli, cha kushangaza eti wanaonekana wamependeza?!
View attachment 575222 View attachment 575224 View attachment 575225 View attachment 575226 View attachment 575227 View attachment 575228 View attachment 575229
Wamechanganyikiwa kabisa..Sasa haya ni mavazi au anatembea uchi Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali ww mama umechukua hatua....Tutavaa stara kuanzia sasa, asanteh kwa kutukumbusha
Ndio maana hamu ya ndoa inakosekanaKila mtu anapenda kuvaa na kupendeza, lakini angalia jinsi unavyo vaa ukiwa mbele za watu kwan jinsi unavyo vaa ndivyo watu watakavyo kufahamu kwa kupitia uvaaji na muonekano wako
Kupendeza sio kuvaa nguo fupi zaidi hadi kuacha sehemu zisizo sitahili kuonekana kila Unapopita au kuvaa nguo inayo kubana zaidi kiasi kwamba inakuonesha maungo yako yote hadi nguo za ndani
Unakuwa u namaanisha nini au unalengo gani kuvaa nguo fupi zaidi hadi kuacha sehemu zingine kuonekana au kuvaa nguo inayo kubana zaidi kiasi kwamba inakuonesha maungo yako yote na kukuchoka jinsi ulivyo hadi ndani?
Unataka wanaume wakutamani? Au ni biashara unatangaza watu waone? Kama si hivyo sasa unataka kumuonesha nani mwili wako? Au unapenda Unapo pita sehem wanaume wote wageuke kukutazama?
Sasa kama umeamua kuvaa ivo mbona Ukifika kwa watu unaanza kulazimisha nguo iwe ndefu unaivuta kana kwamba hukujiona wakati unavaa?
Mbona ukipita kwa watu unaanza kunificha ficha unaogopa jinsi nguo ilivyo kubana hadi unashidwa kutembea?
Watu watakuheshim vip wakati unavaa nusu uchi? Kila unako pita kila mtu anakuona had nguo ya ndani
Vaa mavazi ya heshima kwanin kupendeza sio kutembea nusu uchi huko ni kujidharirisha
Vaa vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeNdio maana hamu ya ndoa inakosekana
Alafu wanasema oo colew kumbe mambo yote yako nje sasa mtu atavutiwa na nn???
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kwel ddaWatu wanajua kupendeza ni kuvaa nguo nusu akipita watu wanamshangaa ye anajua wamependa nguo zake kumbe wanamshangaa kavaa hovyo,wanajidhalilisha tu. Mtu ukivaa nguo tu ya kukufit vizuri bila kukuacha uchi unapendeza zaidi
AsanteHuu ujumbe ungesindikizwa na kapicha au ka video ungeeleweka sanah
ushauri wa bure