Kupendeza sio kuvaa nusu uchi

Kupendeza sio kuvaa nusu uchi

Soja p.

Ilibidi nikubali yaishe.

Nikaona tusifike mbali.

Si unajua Walimbwende huwa hawatabiriki.

Hilo unaloona la kawaida au dogo, baadae linaweza sababisha mtafaruku
 
Hayo yanahesabiwa ni maendeleo kwa zama hizi...hata wazazi wengine wamepotoka...wanapuuza maadili ya kizazi chao

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaondoka nyumbani wamevaa vizuri na kwa Heshima.
Wakitoka nje tu.Wanabadili wanavaa nusu uchi.Sasa sijui wanarudia mavazi ya jadi (maziwa wazi na sketi majani) naona tutafika huko muda si mrefu
 
Back
Top Bottom