salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Mmmmm hapana mkuu sio wote...wengi wao hawana aibu hata chembe..wanakusudia haswaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmm hapana mkuu sio wote...wengi wao hawana aibu hata chembe..wanakusudia haswaa
Et wana tutegaMmmmm hapana mkuu sio wote...wengi wao hawana aibu hata chembe..wanakusudia haswaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo wanao vaa vizur ni wachafu?Eti kuvaa nusu Uchi ndio usafi
Wakifanya upgrade tena...wataelekea kwenye stage ya animals ya kuwa uchi kabisa
Baada ya miaka kumi mbele wataanza kutembea na chupi tuWakifanya upgrade tena...wataelekea kwenye stage ya animals ya kuwa uchi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakifikia stage hiyo basi kazi yangu itakuwa kuwapiga stata kwa dole gumba
Wakifikia stage hiyo basi kazi yangu itakuwa kuwapiga stata kwa dole gumba
Sent using Jamii Forums mobile app

utakamatwa