Kupendana pekee hakutoshi kufanya ndoa iwe salama ``

Oct 29, 2020
93
150
Ni muda mrefu sana nilitafakari , hili jambo nikijitahidi kupitia vitabu na chunguzi mbali mbali juu ya jambo hili , Ukweli nimekuja kugundua Kupendana pekeee hakutoshi wala hakufanyi ndoa yako iwe safe ,iwe imara au idumu kwa muda mrefu ,Why nakwambia hili..???

Hebu jaribu kufikiri watu walioachana Divorce hivi hawa watu mpaka wanaingia kwenye ndoa it's means walipendana , Tena sanaa na kuona ni vyema kwenda kubariki uhusiano wao kwa taratibu za kidini ,sasa nn kimefanya waachane...??? Nn kimetibua ndoa yao ..??

This means that there is a something which is more powerful than their love..!! Nikiwa na maana kuna kitu chenye nguvu kuliko upendo wao , kuliko kupendana kwao , ndicho kinachovunja ndoa nyingi kila kukichaa , So what do u think ..?? Ni nn hichi chenye nguvu zaid ya mapenzi..???

Baada ya kupitia maandiko na nukuu mbalimbali..!! Nikaja kugundua kinachoua ndoa nyingi ni Understanding and knowledge Wanandoa wengi hawana maarifa na ufahamu mzuri na mkubwa kuhusu ndoa , ndio sababu hata kupendana kwao hakufui dafu wala hakuwezi kuleta matokeo yyte yalee..., Mtu anaoa au kuolewa , lkn hana uwelewa wowote kuhusu kuishi na mtu , .!!! Ni kama mtu anakupa fungua ya gari na gari alafu anakwambia endesha..!!

Even doesn't teach you how to drive..!!? Bible says watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa , kabla ya kuoa au kuolewa be knowledgeable , understanding about marriage , i swear uta win na kumudu ndoa la sivyo , utatoa hela kama ni baba , kama ni binti utamkatia viuno mumeo wee , ukifikiri ndo kumuweza
..
Mwishowe utaachwa au utaacha tu..
Bye ...
Uzi nawasilisha..
d1338ee6de05b7ac71322b5f79e382df.jpg
 

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,215
2,000
Hakuna formular ya kufanya ndoa idumu au iwe salama. Maana kila mtu siku hizi ana wazimu wake kichwani. Kuna wapo wanaopendwa ila hawapendeki. Kuna wapo wanaopewa kila kitu ila hawaridhiki. Kuna wapo wenye mapepo ya kusaliti hawaachi kuchepuka. Kuna wapo waelewa ila hawaeleweki.

Halafu kuna sisi (Sijaoa) wengine ambao tuna damu ya kunguni, hata ufanye jambo gani jema na la heri, unakutana na kukosolewa na kutolewa maneno ya ajabu.

Kudumu kwa ndoa ni jambo la kumwomba mungu tu.
 

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
13,402
2,000
i thought hivyo vya understanding huwa tunavipima wakati wa uchumba ndio tunaingia ndoani?
 

Tumbo Chura

Senior Member
Jul 14, 2020
177
500
Kukaa na mtu ambae ana malezi tofauti na wewe,kabila,elimu,uelewa na jinsia halafu mkaelewana ni mpaka mmoja ajishushe ajifanye mjinga,hata kwenye urafiki wa kawaida tuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom