Kupenda kunaniponza

Mmmh
Ndiyo maana najiepusha sana na nyie watu!
Mna lawama sana na kuombea wenzenu laana kila siku!
Yaani kuachana tu pengine source akiwa yeye mwenyewe lakini bado atakuombea kwa miungu yote upate hata kilema!
Kisa mmeachana aghrrr not fair!
 

ukipitia utapata experience ndi baadae utajua uwe unafanya nini...sasa hivi bado mapema komaa kimapenzi tu kwa hayo unayopitia
 
Asante kwa ushauri wako
Pole dada,

una miaka mingapi?
 
 
Tutsi gl ni PM namba yako,matatizo yako kama yangu tu na kwa kweli tutafarijiana tutasahau relationship zetu za awali

Nipo Tandika Mabatini-Dar
 
Fanya hivi Tutsi gl;

- tembelea sana jukwaa la siasa, intelligence, ujasiriamali na mengine yafananayo na hayo. MAANA YANGU: jiepushe na mazungumzo ya mahusiano na mapenzi kwa sasa.


- ANDIKA (PUT IT ON PAPER): Wanasema wataalamu, ukiweza kuandika hisia zako kwenye karatasi utaweza kuzisahau haraka. Kama sio mwandishi nihaditihie tu mkasa wako tuandike wote itakuwa bonge la hadithi.

- JIFUNZE KITU KIPYA: kuna filamu moja niliangalia, mwanaume alikuwa na shida katika mahusiano yake akachukua jukumu la kujifunza lugha mpya. Mimi hujifunza kozi mpya! Yaani lengo ni kuipa akili yako kitu kipya cha kufurahia kufanya ( @nyaningabu utanisamehe niongee kiingereza hapa)..'something that makes you look forward to..'. Kwa kuanzia pitia hizi sites: www.coursera.org na www.en.duolingo.com - ni bure na utajifunza mambo mengi ya 'fields' tofauti tofauti ikiwemo lugha yeyote mpya bure.

Nadhani tuanzie hapo...!
 
Okay okay vema utambue, Maisha lazima yaendelee
 
 
Hii invitation style ni kali...very few will understand it! Hongera sana.
 
Ah ah ah watu wanafuata wahusika pm uhiii umeniacha hoi nilikua cjui hilo

Njoo na lako uje uone shuhuli yake.... mi nshaenda kutoa ushaur wangu wa pm nasubiri majibu hapa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…