Kupenda kunaniponza

Asante, but sina njia ya kuwa nae mbali, ni mtu ambae lazima kila siku nikutane nae
Hapo utapona ila itachukua muda my dear. Pole jaribu kuwa busy sana itasaidia.
 

WEKA PICHA YAKO TUKUONE KAMA KWELI UNADESERVE USHAURI AU NI MCHEVUKO TUU TUKUACHE UENDELEE KUJIPA PROMO THAT YOU ARE SINGLE AND HARDLY NEED A MAN TO HANDLE YOUR P$%#&SY NA KIJI-ELNINO HIKI CHA DSM.

NOTHING PERSONAL BUT JUST READING BETWEEN LINES....AHAHAHAHAHAHAHA.
 
Huyo ni wa kwanza, pata wa pili mzinguane utapata maumivu pungufu ya haya, baadae ukipata mwingine mkazinguana maumivu yanazidi kupungua.

Ikifikia sehemu ukawa hupati maumivu kabisa ndo unakuwa umequalify (umekwiva).

Ila hapa mwanzoni mwanzoni lazima uisome namba.
 
Naomba ni PM namba yako kwa ushauri zaidi. Unaonekana Una tatiZo la kisaikolojia.
 
Dawa ya maumivu ya mapenzi nikupata mapenzi..mengine yote ni porojo nakujifariji wakat ndani unaumia...
 
Fanya sub..toa kiungo mshambuliaji ingiza beki, ushazidiwa bora kukaba tu sasa
 
Ujitahidi kukumbuka mabaya yake huku unavuta muda, kwa sababu jinsi muda unavyo kwenda mbele ndivyo unavyo sahau. Maumivu ya mapenzi ni makubwa mno, kazana na shughuli zako na zisiingiliane na mawazo ya kumwaza x wako
 
Hivi unajua maumivu hayana experience? Unaweza ukawa umetendwa na watu 8 na ukabaki strong, ila mtu wa 9 akakutenda ukatamani hata kujinyonga. So kuna factors nyingi nyuma yake
 
Kazi ya moyo kusukuma damu ,kupenda ni kiherehere chako
 
Hivi unajua maumivu hayana experience? Unaweza ukawa umetendwa na watu 8 na ukabaki strong, ila mtu wa 9 akakutenda ukatamani hata kujinyonga. So kuna factors nyingi nyuma yake

Ila maumivu ya kwanza ni makubwa zaidi (atleast kwa kipindi hicho)!

Na unaweza kudhani hutakuja kuumia kama hivyo.
 
Pole mummy wanaume ndivyo tulivyo mtuvumilie tu kwa maana tunapopendwa sana huwa tunaona kero, ila kule tulipopangwa folen ndipo tumeganda haswa.
 
Ila maumivu ya kwanza ni makubwa zaidi (atleast kwa kipindi hicho)!

Na unaweza kudhani hutakuja kuumia kama hivyo.

Hakuna cha ya kwanza wala ya mwisho kila maumiv yanauma zaid ya ujuavyo ww omba yakupitie mbali kwa maana mmh ni ngumu kumeza.
 

Achana nae huyo njoo huko nikufariji Tutsi gl
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…