​Nina rafiki/mpenzi wangu wa kiume ambaye kwa kweli nimeshindwa kumuelewa tabia yake hii. Kila tunapokutana (siyo kwa ajili ya kudo) yeye hupenda sana kuingiza mkono wake kwenye makwapa yangu halafu anakaa akiunusa mkono wake kusikilizia ile harufu na wakati mwingine hata huingiza mkono kunako na pia kunusa mkono wake. Nimejaribu kumuuliza anafaidika na nini kwa harufu hizo anasema yeye anapenda tu. Sasa kwa kweli mimi sipati picha hii ni tabia ya aina gani maana wakati mwingine ni harufu ya jasho tupu lakini yeye yupo tu anaifurahia. Je ana ugonjwa wa kupenda harufu au ni vipi nisaidieni tafadhali.
hapa nina mashaka kidogo
kwenye naniii naweza kukubali
ila kwapani mmmmh.
hapa nina mashaka kidogo
kwenye naniii naweza kukubali
ila kwapani mmmmh.
Yani mpenzi me kukufanyia vile ndo umekuja kunisemea uku jf...kweli hauna siri​Nina rafiki/mpenzi wangu wa kiume ambaye kwa kweli nimeshindwa kumuelewa tabia yake hii. Kila tunapokutana (siyo kwa ajili ya kudo) yeye hupenda sana kuingiza mkono wake kwenye makwapa yangu halafu anakaa akiunusa mkono wake kusikilizia ile harufu na wakati mwingine hata huingiza mkono kunako na pia kunusa mkono wake. Nimejaribu kumuuliza anafaidika na nini kwa harufu hizo anasema yeye anapenda tu. Sasa kwa kweli mimi sipati picha hii ni tabia ya aina gani maana wakati mwingine ni harufu ya jasho tupu lakini yeye yupo tu anaifurahia. Je ana ugonjwa wa kupenda harufu au ni vipi nisaidieni tafadhali.
​Nina rafiki/mpenzi wangu wa kiume ambaye kwa kweli nimeshindwa kumuelewa tabia yake hii. Kila tunapokutana (siyo kwa ajili ya kudo) yeye hupenda sana kuingiza mkono wake kwenye makwapa yangu halafu anakaa akiunusa mkono wake kusikilizia ile harufu na wakati mwingine hata huingiza mkono kunako na pia kunusa mkono wake. Nimejaribu kumuuliza anafaidika na nini kwa harufu hizo anasema yeye anapenda tu. Sasa kwa kweli mimi sipati picha hii ni tabia ya aina gani maana wakati mwingine ni harufu ya jasho tupu lakini yeye yupo tu anaifurahia. Je ana ugonjwa wa kupenda harufu au ni vipi nisaidieni tafadhali.
Usimshangae. Hata mimi niko hivyo na pengine zaidi ya huyo bf wako. Ipo harufu fulani ya kwapa la kike inayonisisimua sana. Nakumbana nayo kwenye daladala na kwenye mikusanyiko. Nikishaisikia hiyo harufu huyo mwanamke naanza kumpenda hapohapo, na nikipata nafasi namsemeshe hapohapo. Ina raha sana aisee! Hiki kitu kinaelezeka kisayansi. Kumbuka: harufu ya kwapa si uchafu ila ni mseto wa kemikali za mwili zinazowakilisha personality ya mtu.​Nina rafiki/mpenzi wangu wa kiume ambaye kwa kweli nimeshindwa kumuelewa tabia yake hii. Kila tunapokutana (siyo kwa ajili ya kudo) yeye hupenda sana kuingiza mkono wake kwenye makwapa yangu halafu anakaa akiunusa mkono wake kusikilizia ile harufu na wakati mwingine hata huingiza mkono kunako na pia kunusa mkono wake. Nimejaribu kumuuliza anafaidika na nini kwa harufu hizo anasema yeye anapenda tu. Sasa kwa kweli mimi sipati picha hii ni tabia ya aina gani maana wakati mwingine ni harufu ya jasho tupu lakini yeye yupo tu anaifurahia. Je ana ugonjwa wa kupenda harufu au ni vipi nisaidieni tafadhali.
We mruhusu tu siku ataomba aingize kwenye kabaang
Harufu ya kwapa lako inawakilisha chemical make-up of your body.Mtu wako akitokea kupenda harufu ya kwapa lako Mamndeny, usimshangae, it is a normal human/animal behaviour. Kwenye nanihii ndo kwenyewe kabisaaaa! Beberu wametufundisha.hapa nina mashaka kidogo
kwenye naniii naweza kukubali
ila kwapani mmmmh.
Mbona hushangai wajawazito kupenda harufu ya soksi mara baada ya kuzivua...​Nina rafiki/mpenzi wangu wa kiume ambaye kwa kweli nimeshindwa kumuelewa tabia yake hii. Kila tunapokutana (siyo kwa ajili ya kudo) yeye hupenda sana kuingiza mkono wake kwenye makwapa yangu halafu anakaa akiunusa mkono wake kusikilizia ile harufu na wakati mwingine hata huingiza mkono kunako na pia kunusa mkono wake. Nimejaribu kumuuliza anafaidika na nini kwa harufu hizo anasema yeye anapenda tu. Sasa kwa kweli mimi sipati picha hii ni tabia ya aina gani maana wakati mwingine ni harufu ya jasho tupu lakini yeye yupo tu anaifurahia. Je ana ugonjwa wa kupenda harufu au ni vipi nisaidieni tafadhali.
Mbona hushangai wajawazito kupenda harufu ya soksi mara baada ya kuzivua...