BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Usimshangae. Hata mimi niko hivyo na pengine zaidi ya huyo bf wako. Ipo harufu fulani ya kwapa la kike inayonisisimua sana. Nakumbana nayo kwenye daladala na kwenye mikusanyiko. Nikishaisikia hiyo harufu huyo mwanamke naanza kumpenda hapohapo, na nikipata nafasi namsemeshe hapohapo. Ina raha sana aisee! Hiki kitu kinaelezeka kisayansi. Kumbuka: harufu ya kwapa si uchafu ila ni mseto wa kemikali za mwili zinazowakilisha personality ya mtu.
​Nina rafiki/mpenzi wangu wa kiume ambaye kwa kweli nimeshindwa kumuelewa tabia yake hii. Kila tunapokutana (siyo kwa ajili ya kudo) yeye hupenda sana kuingiza mkono wake kwenye makwapa yangu halafu anakaa akiunusa mkono wake kusikilizia ile harufu na wakati mwingine hata huingiza mkono kunako na pia kunusa mkono wake. Nimejaribu kumuuliza anafaidika na nini kwa harufu hizo anasema yeye anapenda tu. Sasa kwa kweli mimi sipati picha hii ni tabia ya aina gani maana wakati mwingine ni harufu ya jasho tupu lakini yeye yupo tu anaifurahia. Je ana ugonjwa wa kupenda harufu au ni vipi nisaidieni tafadhali.
mmh,mie napita tu.:kev:
Usihukumu haraka hivyo mshana jr

Hapewi?akinusa tu anaondoka?
nadhani huyo mdau bingwa wa kunusa hana muda na mambo mengine
nini mbaya kwani?