Chocolate
Senior Member
- Feb 5, 2009
- 117
- 48
​Nina rafiki/mpenzi wangu wa kiume ambaye kwa kweli nimeshindwa kumuelewa tabia yake hii. Kila tunapokutana (siyo kwa ajili ya kudo) yeye hupenda sana kuingiza mkono wake kwenye makwapa yangu halafu anakaa akiunusa mkono wake kusikilizia ile harufu na wakati mwingine hata huingiza mkono kunako na pia kunusa mkono wake. Nimejaribu kumuuliza anafaidika na nini kwa harufu hizo anasema yeye anapenda tu. Sasa kwa kweli mimi sipati picha hii ni tabia ya aina gani maana wakati mwingine ni harufu ya jasho tupu lakini yeye yupo tu anaifurahia. Je ana ugonjwa wa kupenda harufu au ni vipi nisaidieni tafadhali.