Kupenda chips

Pretty,
Hata bibi na babu?

True babu yangu(Rest in peace) alikuwa napenda sana chipis ata age of 85yrs....pamoja na kuwa na kansa ya koo...chips mayai ukimpikia unataka baraka za faster faster kama wataka kwenda mtoko.
 
Mi nakumbuka enzi zile watoto (hata watu waizma) walipenda sana Wali na maharage... Siku hizi mambo yamebadilika, bila chips kuku au chips mayai... Hakieleweki.
 
Yaani hizi chips kuku utadhani kuna pepo ndani yake. Wadada na wamama wengi tu tena wenye kazi zao za maana wanatembea na wakaanga chips kisa wapewe tu chips japo hata uwezo wa kununua kwa pesa zao wanao. Lol!
 
Back
Top Bottom