Kupenda chips | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupenda chips

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaniki1974, Jun 23, 2009.

 1. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele viongozi,

  Hebu tusaidiane, kwa nini watoto wanapenda sana chipsi? Is this food healthy for kids?

  Thanks kwa maoni/ushauri.
   
 2. a

  agika JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mhhh mkuuu hapo umelenga mwanangu anapenda chips ile mbaya japo hajui kuongea mpaka asubuhi tukiwa tunaenda kazini akiaga byeee anamalizia na pipss eeeeh usiposema ndio kiliooo, but ofcourse si nzuri kiafya kula kila siku coz its refered as one of a junk food.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ni kawaida kwa watoto kupenda chakula kisicho kizuri sana kwa afya. Wanapendelea vitu kama hizo chips, pipi, ice cream, chocholate, keki nk. Watoto wanapendelea zaidi vya kula vitamu tamu na vya kula vingi visivyo na afya ni vitamu na vile vyenye manufaa zaidi kwa mwili. Mimi nakushauri muwe mna tengeneza chipsi wenyewe nyumba hivyo mtapima kiwango kizuri cha mafuta, mtakua na uhakika na usafi wa uandaaji nk.
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Jun 23, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Chips si chakula cha afya hasa kikiwa kinaliwa mara kwa mara -chakula kilichosheheni wanga na mafuta. Ila unaweza kukifanya kiwe kilichokamilika kwa kuongezea mboga mboga za majani pembeni na nyama ya mchuzi (au hata maharagwe) ili kupata protein. Unakamilika vizuri zaidi utakaposhushia na juice fresh.


  watoto huzipenda kwa kuwa wao hupenda vyakula vikavu kavu.
   
 5. a

  agika JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nimekupata hapo mkuuu , lakini wat about pipi,icecream chocolate..... nazo tupike?joking
   
 6. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Chips ni chakula kinapendwa na watu wa rika zote,jinsia zote. Tena kuna french fries za drive through hata mie nafagilia hichi chakula lol!
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hahaha. Pipi ni mbaya hamna way around it. Hizi ice cream za barafu mkitengeneza wenyewe siyo mbaya sana kwa maana maji mnachemsha wenyewe na kiasi cha sukari mnapima wenyewe. Keki nazo unaweza kutengeneza nyumbani. Nakumbuka mama alikuwa anatutengenezea nyumbani halafu anaiwekea flavor badala ya kuweka ile micream yenye sukari sana. Hata ukisearch yahoo unaweza kupata recipe za keki zisizo na madhara kwa afya.
   
 8. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Pretty,
  Hata bibi na babu?
   
 9. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,804
  Likes Received: 6,314
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kuambiwa hata secondary school gals wakipewa chips-kuku, kwisha kazi!(joke...)
   
 10. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Umepiga Ikulu...! joke!!
   
 11. a

  agika JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duh! mummy umezidefend chips mpaka basi hata mie nazipenda ila tulikuwa tunasemea kwa watoto tu jamaniiii... japo hata kwetu watu wazima tukiziendekeza zina madhara pia....
   
 12. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo huku nyumbani Tanzania, watu tunakula chakula cha aina moja saana mpaka kinachosha. Ndiyo maana chips imekuwa na fahari na kuoneka kuwa ni chakula cha luxury.

  Pikeni nyumbani angalau kwa wiki mara moja, watu waone ni mlo wa kawaida tu. Hata binti yako asije akagiribiwa kwa chips.

  Akina mama tusiwe wavivu wa kupikia familia zetu, badirisha milo, mapishi n.k. Siyo maharagwe tuuuuu, mmh hata baba atakuwa anapitia bar ale kabla hajaja home.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wengine twapenda hips!
   
 14. GP

  GP JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu ni unamaanisha CHIPS au HIPS? [​IMG]
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ndio maana mna vitambi.....mtapigwa chini sana shauri yenu.....

  ......chips ni uchafu zina madhara magonjwa meeengi.....mafuta ya chips wengi mnakaangia mara zaidi ya 2 mjue kuwa ukikaangia mafuta yale yale ni sumu kali.....
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  HIPS baba! mwanamke mla chips hafai lazima atakuwa na likitambi na hana HIPS...!
   
 17. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  inaonyesha unapenda viportable?
   
 18. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  'Big Mac Healthier Than Some Shop Salads'


  © Sky News 2009
  Print StoryShoppers may think they are going for the healthy option when choosing a green salad but it could be loaded with more calories than a Big Mac and fries. content

  'Big Mac Healthier Than Some Shop Salads'
  Enlarge photo .A survey by consumer watchdog Which? found Morrisons' Smedleys Atlantic Prawn Marie Rose Salad contained 855 calories and 66.3g fat - more than a McDonald's Big Mac and medium fries and 70% of the fat a man should eat in a day.

  Which? bought a selection of 20 pre-packed salads on the high street and found another unhealthy option was Asda's Chicken Caesar Pasta Salad, which contained 43g of fat, nearly as much as six Cadbury's Creme eggs.

  Almost a quarter of the salad is made up of high-calorie dressing (13% mayonnaise, 10% Caesar dressing).

  Which? editor Martyn Hocking said: "If you thought your high-street salad was healthy, you could be in for a surprise.

  "Which? has found there were large differences between the amount of fat, saturated fat, salt and calories in pre-packaged salads. Check the label or you could end up with egg on your face.

  "This latest research backs up what we've been saying for ages - a clear, consistent labelling scheme is important to help people spot how much fat, sugar and salt is in the food they're buying."

  The survey found mayonnaise or creamy sauces were often the reason why many of the salads were so high in calories and fat.

  Mayonnaise dressing was the second highest ingredient (27%) in a Mark and Spencer Pasta with Tomato and Basil Chicken salad, £3.20 (380g), which had 760 calories and 46g fat.

  However there was praise for Sainsbury's and its Rainbow Salad for containing soya beans and lentils, a good source of protein, and also its Thai Chicken Noodle for being low in salt and fats.

  Which? wants food companies to adopt one label so shoppers can see at a glance levels of fat, sugar and salt.

  It said research by the Food Standards Agency shows a combined label including traffic light colours, guideline daily amounts, grams of nutrients per portion and the words 'high', 'medium' and 'low' worked best for consumers.
   
 19. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo Avatar.....!?
   
 20. U

  Urenga One Member

  #20
  Jun 25, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du! hata mimi nashangaa kuona hivyo wanafikiri chips kuku ni chakula safi du! du! kumbe hamnazoo si chakula bomba
   
Loading...