Ndiyo maana nilidaiwa TOEFLS na vingine sijui ISLETS nikafanye pale British Embassy kipindi flan ni kwa sababu hii, Ee Mungu uturehemu
Anaenda kusomea udereva wa mwendokasiMwanachuo mtarajiwa wa mwendo kasi. Sijui anaendasoma kozi gani huko ifm.
Unaanza kumtetea sasa au n ww wa IFMTuna uhakika gani kama ni kweli kachaguliwa hapo?
Mara nyingi tu tunaona msichana kaandika anasoma Feza Boys,au mtu kaandika anasoma BVM MUHAS
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyu dada kapatwa kweli,bora atumie kiswahili au kilugha
vigezo si kachaguliwa mkuu kipi tena kama ame pass vizuri lakini yupo hivyo atakataliwa?[emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jipu hil achunguzwe vizur kama kwel ana vigezo huyu
Unaanza kumtetea sasa au n ww wa IFM
Hahaha nimejikuta nakumbuka vile vibao vya Mr teacher
Ni tatizo kweli kweli! Tena kwa asilimia kubwa ya kwetu sisi tuliosoma michepuo ya sayansi. Yawezekana ndio sababu mojawapo ya kutoondoka nyumbani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]not only a problem to tanzanian students.. even tanzanian mkulu
Ni kazi kweli mkuu, Mungu atusaidie. Ila uwezo wa mtu kujifunza anao kama ana nia ya dhati..Ndiyo maana nilidaiwa TOEFLS na vingine sijui ISLETS nikafanye pale British Embassy kipindi flan ni kwa sababu hii, Ee Mungu uturehemu
ha ahahahahuyu angesoma Mbeya Day secondary School mbona angenyooka.