cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,665
- 78,147
Ungemsahihisha kwanza ajifunze
Hapo kamaliza form six, na nadhani atakuwa amesoma mchepuo wenye H ndani yake. Sasa kama ninavyofikiri ni kweli, basi ni tatizo. Ila kama ana nia ya dhati ataweza kujifunza na kuelewa.Huyu dada kapatwa kweli,bora atumie kiswahili au kilugha
Ushauri mzuri sana..walioko fb wamuulize kwa kiswahili alitaka kusema nini halafu wamuandikie ili ajifunze
namwonea huruma sababu itakuwa inatembea whats app maeneo mbali mbali akifika chuoni atakuwa na aka tayariUshauri mzuri sana..
Ichi ni kingeresa.Huyu ni mmoja kati ya mwanazuoni mtarajiwa wa IFM View attachment 413602
Ni kweli kabisa mkuunamwonea huruma sababu itakuwa inatembea whats app maeneo mbali mbali akifika chuoni atakuwa na aka tayari
Ujui usemaloKwa IFM ni sawa tu! vipanga wote wa nchi hii wanajulikana wanasoma wapi
Mwingine huyu..!!!Mboga ya malecture hiyo
Ahahaaaaaah...
Ahahaaaaaah...Huyu dada kapatwa kweli,bora atumie kiswahili au kilugha
Huyu ni mmoja kati ya mwanazuoni mtarajiwa wa IFM View attachment 413602