Kazi kweli mkuuAta CBE dar..
Kwa IFM ni sawa tu! vipanga wote wa nchi hii wanajulikana wanasoma wapi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]not only a problem to tanzanian students.. even tanzanian mkulu
University of Dar es salaam, home of intellectualWanasoma wapi mkuu
Wanasema chuo cha karate,Kwa IFM ni sawa tu! vipanga wote wa nchi hii wanajulikana wanasoma wapi
Hata me sinahahahha sina a/c huko tehe tehe tehe
Ndo hayo hayo mimi hata sikuyakariri, niliambiwa na uongozi wa University of Quinsland, nikaenda London School of Business wakasema hayo hayo nikaona isiwe kesiHahahaha ISLETS kabisa mkuu!?? hahaha...
TOEFL ni ya Mmarekani zaidi lakini.
British Council wana IELTS...
Unatumia tecno line mbili?Huyu ni mmoja kati ya mwanazuoni mtarajiwa wa IFM View attachment 413602
Aangalie sana IFM watu wanadisco semister ya kwanza tu[emoji23]Huyu ni mmoja kati ya mwanazuoni mtarajiwa wa IFM View attachment 413602
We mwache kile chuo hakitakagi mambo ya kijinga! Semester ya kwanza tu chaliii[emoji12] ...kunakuwaga na viquiz na viassignment vya ajabu ajabu na vile ndo vinakuondoaAangalie sana IFM watu wanadisco semister ya kwanza tu[emoji23]