Kupatiwa mawazo juu ya afya yangu

Kupatiwa mawazo juu ya afya yangu

Psychological uko sawa, tuanzie hapo maana mara nyingi kama uko na stress au kitu chochote kinachofanya akili kukosa utulimu, huweza kuvutuga hali ya mwili na ni nadra sana kujua nini tatizo
 
Habari zenu wana jamvi leo nimekuja kwa unyenyekevu mkubwa ndugu yenu naumwa hlf sijui nini kinanisumbua najua itawashangaza ila na huu ukubwa nilonao sijui naumwa nini ni vile najiskia vibaya mwili unakosa nguvu mda mwengine viungo vinauma tu mda mwengine kama nataka kutapika inafika mwezi wa 4 nikienda hosptal za serikali wananipima tu malaria wananipa dawa hakuna afadhali ninayopata,sasa nimeamua kwenda hosptal za binafsi ila kabla sijaenda nataka ushauri vipimo gani niombe kufanya au doctor nikimuelezea ataelewa nini anipime?mana nateseka mno
Unatokwa na jasho jingi usiku?
Je unahisi koo kukauka?
Unpata hisia ukikojonunahisi mkojo hauishi?
Ushawahi Pima blood count?
Je una uvimbe sehemu yoyote ya mwili hata kidogo?
 
Unatokwa na jasho jingi usiku?
Je unahisi koo kukauka?
Unpata hisia ukikojonunahisi mkojo hauishi?
Ushawahi Pima blood count?
Je una uvimbe sehemu yoyote ya mwili hata kidogo?
Hapana sitoki jasho labda juzi nilikuwa nahisi kama homa ndio nikatoka jasho,sijawah kupima blood count na nikikojoa mkojo unaisha vizuri tu
 
Mimi sioni kama Unaumwa! Nadhami ni Msongo wa Mawazo! Hofu,wasiwasi,nk
Fanya mazoezi,tafuta kitu cha kukuburudisha,kula vizuri uwe na muda wa kutosha kupumzika,muda wa kutosha wa kusinzia.
 
Mimi sioni kama Unaumwa! Nadhami ni Msongo wa Mawazo! Hofu,wasiwasi,nk
Fanya mazoezi,tafuta kitu cha kukuburudisha,kula vizuri uwe na muda wa kutosha kupumzika,muda wa kutosha wa kusinzia.
Ahsante kwa ushauri nitalifanyia kazi ila najihisi naumwa wacha nikajiridhishe na baadhi ya vipimo
 
Mk
Ila Tanzania ni nchi ya kipekee sana

No wonder watawala waovu wanafurahia aina hii ya watu tulivyo haswa sisi vijana wa kileo

Yani mtu anasumbuliwa kwa namna isiolezeka na inampa wakati mgumu badala akafanye full check up eti anakuja kutafuta faraja humu ndani.

SCUM! 🤡🤡
Mkuu ndo maana kaja hapa soma vizur na umshaur sio Kila mtu anajua mambo ya full check, pia inagharimu kiasi gani na hospitali gani nzur aende usianxe kimlaumu rudia kusoma bandiko, full check huwa inapimwa nini na nini?
 
Ila Tanzania ni nchi ya kipekee sana

No wonder watawala waovu wanafurahia aina hii ya watu tulivyo haswa sisi vijana wa kileo

Yani mtu anasumbuliwa kwa namna isiolezeka na inampa wakati mgumu badala akafanye full check up eti anakuja kutafuta faraja humu ndani.

SCUM! 🤡🤡
Full check up -- wanapima vitu gani?
 
Back
Top Bottom