Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,808
najua lakini kupatanisha ni muhimu
Ili kuondoa hivyo vinyongo lazima awepo mtu wa kati, maana wao hawawezi tena kuwasiliana kwa amani. Mioyo imetenganaWatu tunaishi kwa vinyongo sana utapatanisha mchana usiku watu wanagombana.