mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,969
- 5,103
Mkuu unaanzaje kupatanisha watu wazima wanaojuana vizuri kuliko wewe unavyowajua? Hakuna mpatanishi wa NDOA zaidi ya Mungu mwenyewe, Ukiona wamepatana jua waligombana physically tu ila akilini na mioyoni bado walikuwa pamoja ndo maana wamepatana
😃😃😃Ukapatanishe watu waliokosana kuanzia mwilini mpaka rohoni utegemee utafaulu hahaha hakuna kitu kama hicho
😃😃😃Ukapatanishe watu waliokosana kuanzia mwilini mpaka rohoni utegemee utafaulu hahaha hakuna kitu kama hicho