kutakuwa na malipo kidogoUtakuwa unafanya kwa kulipwa hela au
hapana,interests zangu ni kupatanisha wandoa na kuunganisha watu waoaneInawezekana mkuu. Ongeza kitengo ya councelling pia ili huduma iwe nzuri na ipatikane kwa wasio wanandoa
Nipe ABC maana na mimi nataka nianze kuifanyakutakuwa na malipo kidogo
Mbona unatapa tapa sana mkuu😂shem Shem hizo ni false rumours ili kuni chafua, huyo Half american kaona ani haribie baada ya mimi kujua kuwa yeye ndio haji manara😂😂
😂😂😂😂 Aseee nimecheka! Ila mwambie tu ataoa kwetu hata mke wa pili, Asilete janja janja.shem Shem hizo ni false rumours ili kuni chafua, huyo Half american kaona ani haribie baada ya mimi kujua kuwa yeye ndio haji manara😂😂
mke wangu mpo nae mwezi ujao nakuja kumchukua tusiwacheleweshe watoto shule.😂😂😂😂 Aseee nimecheka! Ila mwambie tu ataoa kwetu hata mke wa pili, Asilete janja janja.
Half american .
Hilo limeisha shemeji .mke wangu mpo nae mwezi ujao nakuja kumchukua tusiwacheleweshe watoto shule.
wewe usi muulize Half american Kama ni mzima, zingatia uki sikia haji mnr yupo basi jua shemeji yako huyo yupo.Hilo limeisha shemeji .
Mzima lakini?
binti kiziwi nime kuita mara tatu, labda aje kula futari tu!.mke wangu mpo nae mwezi ujao nakuja kumchukua tusiwacheleweshe watoto shule.