Kupata D ya General Studies ni ngumu kuliko A ya physics

Unapataje F general study kama sio umburura tu huo....af unakuja kujitapa humu...hata kuwapa mkopo nyie vijana kumbe ni wast of money tuu.. tatizo mda wote mnafatilia Maisha ya Lulu, Diamond na ant ezekiel....wewe ni fail kabisa ni bora urud form one
Usijute unaongea hivi hata form four ulipata division 5
 
Mkuu kuna mtu namjua Alienda Advance Na PCM akapata S zote.Akaanza Upya Advance Na HKL akatoka form Six Na One ya 4.Sasa wewe niambie mtu mmoja tu aliyefeli HKL ,HGK,HGL advance akaenda kurudia PCM akafaulu,kama yupo hata mmoja tu unitajie.
Mara nyingi mtu anayesoma PCM kuna uwezekano mkubwa hata hiyo HKL akaimudu.Lakini aliyeenda HKL ni nadra sana akaweza kuimudu PCM.
Ndo hapo utajua vichwa vipo wapi
 
Kwa wale H kunani ni rahisi sana kupata Subsidiary ya General studies.

Kimbembe kiko hapa, PCM,PGM,PCB,CBG na CBN.

Hizo Combination watu tunawekeza nguvu zaidi kwenye kutafuta principal pass za chuo, hilo GS inakua shida kulifaulu kwa sababu hatujiweki social, we mtu kutwa nzima unakomaa na Chand au BS huo muda wa kua socila unapata wapi?

All in all sijawahi kuona madhara ya mtu kufeli GS.
Kama yapo naomba nielimishwe.
 
Kwanini basi watu hawakalili Form four ili wafaulu vizuri Maths Phys Na Chemistry.Kama ishu ni kukariri basi F Za Phys Na Maths o level zingekuwa chache maana huko wanasoma wote.
 
hakuna kitu kama hicho!! masomo ya sayansi siyo ya kukariri kama unavyofikiri kama huna concept utasolve vipi? fanya analysis ndogo tu o level mara nyingi A za kiswahili zinakuwa nyingi tofauti na hesabu au Physics. Mwanafunzi huyohuyo anapata A au B ya kiswahili ila anapata F ya hesabu, ila anayepata A ya hesabu ni mara chache sana kufeli kiswahili
 
Watu hawajui tu mi nina demu wangu ametafuta credits three consecutive yrs akapata akaenda kusoma HKL advance ametoka na div 1 ya 8pts. Sasa uliza kama kuna watafuta credit wanaokwenda advance kusoma comb yoyote inayoanzia na P.
 
Hiki kizazi kina walakini!

Tuliokuwa na S za GS tena ukute za A kabisa utatuambia nini
 
Hahahahaaaa anayejua hasomi hayo masomo. Hao wote wengi wao science iliwashinda
 
Mbona mm nimechora A kwenye hayo masomo unayolia lia na nikasoma PCM na hao waliokuwa wanajifanya art ndio kabisa walikuwa hata hawanikaribii afu leo unaleta mada eti art ngumu # jitafakari
 
GS hata usomeje kufaulu ni shida sana ,unaeza kuta mtihani ukaona mtihani rahisi na ukajiaminisha unapata A lakini tokeo likija una F
Watu wa zamani walifichiwa aibu kidogo tokeo lao walikuwa wanawekewa S siku hizi upendeleo huo hakuna
Gs sio ngumu ila akili yako ndio mbovu
 
Kama mwenye one alipata zero sasa wew ungeenda kupata ngap maana hata hiyo zero usingeipata
 
Nilikua natafuta S ya GS, nisingeweza kuacha kusoma Uchumi, Maths na Geog nikasome GS.
Nakumbuka siku moja baada ya matokeo ya terminal kutoka kwenye egm nilikia na ABA alafu gs nikawa na 30,

madam wa gs akaleta pepa zake aliniita mbele ya darasa alinipiga maneno ambayo yaliniuma sana na kuanzia siku hiyo nikawa na theory moja... Kwenye egm nilikua napiga full msuli kila somo kuanzia gs, divinity, math, eco duuh kila siku kwenye tatu bora hunikosi.



Kwa kifupi sijawah chagua somo!! Mungu si athman nikapiga one yangu swafi kabisa...
 
Mbona mm nimechora A kwenye hayo masomo unayolia lia na nikasoma PCM na hao waliokuwa wanajifanya art ndio kabisa walikuwa hata hawanikaribii afu leo unaleta mada eti art ngumu # jitafakari
Mtu anambie Eti Sayansi ni kuclaim tu aaah haiji akilini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…