Kupanda kwa nauli za mabasi yaendayo mikowani: Mamlaka zinazohusika zimeridhia?

Chendembe

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
416
462
Naweza kuwa nimepitwa na habari kutoka Mamlaka zinazodhibiti gharama za usafirishaji. Hivyo, naomba kufahamu endapo Kuna tangazo la Mamlaka yeyote kutangaza ongezeko la nauli za mabasi nchi Tanzania.
Hali imekuwa mbaya, Kuna makampuni ndani ya wezi huu wamepandisha nauli Mara mbili.
Nawasilisha
 
Hii serikali sasa hivi inaigiza upofu, kila mtu anajifanyia analoona sahihi kwake.
Sasa hivi watu wanaokatisha ticket wamekuwa na viburi sana yaani sehemu nauli 29k wanakuambia 35k kama hutaki kulipa hiyo hupewi ticket. Na kwenye ticket wanakuandikia 29k ili hali wao wanataka uwalipe 35k.
Latra wapo, Traffic wapo, TAKUKURU wapo na wanafahamu kinachoendelea ila ni kujivika upofu tu.
 
Naweza kuwa nimepitwa na habari kutoka Mamlaka zinazodhibiti gharama za usafirishaji. Hivyo, naomba kufahamu endapo Kuna tangazo la Mamlaka yeyote kutangaza ongezeko la nauli za mabasi nchi Tanzania.
Hali imekuwa mbaya, Kuna makampuni ndani ya wezi huu wamepandisha nauli Mara mbili.
Nawasilisha

Kwani bei za diesel, vipuli, matairi, zile za kubrashi viatu nk ziko pale pale?
 
Tuliambiwa JPM ni dikteta, ila ulikuwa unasafiri salama salmini.

Kwa sasa tusubiri tu mabasi kuanza kutekwa, abiria kupukutishwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom