Kupanda kwa gharama za maisha kunachochea biashara ya ukahaba

Kutokana na gharama za maisha kupanda ikiwemo ongezeko la tozo kunapelekea biashara ya ukahaba kushamiri, zipo changamoto nyingi katika maisha zinazopelekea watu kujiuza kubwa zaidi zinatokana na ugumu wa maisha.
Hapa mimi najiuliza, gharama za maisha zikipanda si watu wanakosa pesa? Hizo za kwenda kununulia wakahaba zinatoka wapi au ugumu wa maisha unakuwa ni kwa wanawake tu, ila wanaume wanakuwa na pesa za kuishamirisha hiyo biashara?

Unasemaje kuhusu hoja hii?
 
Nadhani ugumu wa maisha unachangia kwa kiasi kidogo tuu, katika kila jamii kuna hilo group la hao watu ndo maana kuna class nyingine mtu wa kawaida hawezi nunua. hivyo unaona shida siyo pesa/ugumu wa maisha pekee, kikubwa zaidi ni tabia na nadhani iko genetic coded.
 
Kutokana na gharama za maisha kupanda ikiwemo ongezeko la tozo kunapelekea biashara ya ukahaba kushamiri.

Zipo changamoto nyingi katika maisha zinazopelekea watu kujiuza kubwa zaidi zinatokana na ugumu wa maisha.
My friend, wadada/wanawake hata waliojiriwa wanafanya ukahaba na umalaya kuliko. Sidhani kama tatizo ni ugumu wa maisha
 
Hapa mimi najiuliza, gharama za maisha zikipanda si watu wanakosa pesa? Hizo za kwenda kununulia wakahaba zinatoka wapi au ugumu wa maisha unakuwa ni kwa wanawake tu, ila wanaume wanakuwa na pesa za kuishamirisha hiyo biashara?

Unasemaje kuhusu hoja hii?
Kwa mwanaume sex ni necessity
 
Back
Top Bottom