Pepe Madochi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 341
- 364
Kwahyo apo maana yake ni fedha yetu kushuka thamani au ongezeko la riba(interest rates) 🙄
Kwa kiasi kikubwa hizo dollar hutumika kwa shughuli za maendeleo hasa kwa contractors toka nje!! So hatuna namna ya kukwepa!! Nachompongeza Samia amejitahidi sana kuvutia foreign investment na international trade inakua kwa kasi sana kiasi tuna dollar reserve kubwa sana in history!Ni kweli but na Sisi hatuko serious...tulipaswa kupunguza matumizi ya dollars pia ndani...