Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,581
- 10,111
Hivi unafahamu kuongezeka kwa thamanI ya Dolllar ya Marekani kivyovyote kuna athari kubwa katika deni la taifa?
Hili jambo wengi hawalifahamu na hata wakilifahamu wanaona kama halina athari lakini ukweli nikwamba deni linakopwa kwa USD , na malipo yake hufanyika kwa fedha hiyo hiyo .
Sasa tuchukulie deni lilikuwa triliin 50 mwaka 2015 wakati dollar ikiwa 2200 leo ukilipa au kutaja deni hilo litakuwa limeongezeka automatic kwakuwa sasa dollar ni 2665 na kama ukilipa itakuhitaji kulipa Trilion 60, hapo ni bila riba hilo ongezeko limetokana na thamani iliyoongezeka kwa USD.
Jambo hili nimuhimu lisemwe pia