Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,165
- 6,531
unaweka iliki. na viungo flan hivi nimesahau jina. nikikumbuka ntakuambia.Vitu gani hivyo?
Nauliza sababu mi na familia ni watumiaji wa hayo mafuta.
Ninatengeneza mwenyewe na ninataka nipunguze harufu.