We gamer kwa vituko sikuwezi kha!!
Afu ntaleta video game hapa na mimi...
Kutua uwanjani na mtoni ni vitu viwili tofauti kabisa hata watu watakushangaa unapovifananisha, juzi juzi ndege kubwa kuliko zote dunia ilitua kwenye wrong airport (Wichita Kansas) " http://www.youtube.com/watch?v=g5UiAd2c-MM" ikiwa full loaded wataalam kutoka Boeing walifanya mahesabu na kuwakikishia kuwa ndege hiyo itaruka bila shida wakati uwanja ilipotua ulikuwa mfupi kwa futi 3000. Vitu hivi vinatokea sana.tunaitaj tujue cv ya huyu jamaa apewe tuzo... waafrika hatupendi kujikubali mnakumbuka yule jamaa laiyetua kwenye hudson river kule us baada ya engine zote kufail alitukuzwa sana!!! he made it look so easy!!!