May be! yaani unapita sehemu unaona bar, sasa ile kuona tu watoto wazuri dopamine inaitikia, halafu unabaki kujiuliza niende au akili nyingine inasema acha!
May be! yaani unapita sehemu unaona bar, sasa ile kuona tu watoto wazuri dopamine inaitikia, halafu unabaki kujiuliza niende au akili nyingine inasema acha!
Kwenye uzi huu nilieleza jinsi ambavyo nilikula msoto kwa miezi sita bila kazi. Kulikuwa na muda nakosa hata shilingi 100—ndiyo, shilingi 100 hii hii. Wakati huo pia nilikuwa naota ndoto nipo shule ya msingi.
Remember hapo nimepoteza kazi ya kuajiriwa ambayo nilikuwa na uwezo wa kupata 1.2M.
Sasa naomba niendelee.
Basi, nimefanya interview si chini ya 15, na nyingine nilibargain mshahara mdogo ukilinganisha na uzoefu wangu, lakini bado sikufanikiwa.