PoleNilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii,
Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzania🙌🙌
Nimepiga interview nyingi then after hapo no feedback
Kuna interview nyingine nilifanya nikaambiwa nitaitwa second interview,hii nilikuwa na uhakika napenya ila majibu holla,nikasema nimpigie huyo HR na tulikuwa tunawasiliana vizuri,hakupokea simu zangu tena na hapo naona anapost social media kama kawaida🤔
Halafu nakuwa naota sana zile ndoto nipo shule ya msingi mara nipo kijijini kwetu na nilikuwa sioti hizo ndoto kabla ya hapo,
Yaani kila kitu kimestuck kabisaaa
Huwa mnatokaje kwenye huu mkwamo?
AsanteKuota upo shule ya msingi pekee haitoshi sababu ulipaswa useme
1. Ulikuwa unafanya nini
2. Ulikuwa na nani?
3. Asubuhi, mchana au jioni
4. Ulikuwa darasani, nje ya darasa
5. Mwanafunzi wa shule hiyo? Ulisomaga hapo?
Exactly 💯Pole sana kiongozi tatizo lako ni la kiroho zaidi
Ni kumbukumbu tu ambazo mtu alipitia kwenye maisha yake , na zote zimetunzwa kwenye ubongo, kama memories zako zipo vizuri unaweza ota mambo mengi tu hata ya utotoNimeziota sana hizo ndoto za shule ya msingi, hasa hasa yale maeno tuliyokuwa tukicheza mpira shule. Lakini mambo yanaenda namshukuru Mungu.
Kuhusu ndoto ya shule ya msingi ni kawaida tu huwa naota tupo darasani n.kKuota upo shule ya msingi pekee haitoshi sababu ulipaswa useme
1. Ulikuwa unafanya nini
2. Ulikuwa na nani?
3. Asubuhi, mchana au jioni
4. Ulikuwa darasani, nje ya darasa
5. Mwanafunzi wa shule hiyo? Ulisomaga hapo?
Huwa huanguki chini ya kitanda mkuu😆Bora wewe unaota upo shule, wenzako tunaota tunakimbizwa na sungusungu wa kijiji halafu kila ninapijificha wananifuma.! 😎
Wakati mwengine Simba, mbwa Yaani hekaheka mpaka kunakucha
Hmm 🧐Mimi kila wiki lazima niote nachakata mbususu, yaani naota mdada ana shanga za kilo 10 kiunoni, anakatika balaa huku akisema mzee poker ongeza mapigo, namimi naichakata na kuipepeta haswa. Nami pia naombeni msaada.
Safi , wewe dada una akili sana.Umespend muda mrefu shule kipindi ubongo unakua na kujijenga, ma file kibao yamehifadhiwa kwenye ubongo wako.
Wala sio jambo la ajabu.
Hapana, wakati nipo mdogo nilikuwa naota mabawa naruka wananizoom kwa mbali 'yulee Nayeyaa'Huwa huanguki chini ya kitanda mkuu😆
Wow! nimesoma comments now naona tumecomment kitu cha kufanana.Safi , wewe dada una akili sana.