Unafunga mkanda au unapaa hivyo hivyo.Salaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni ndoto yangu hii pia na ninaipenda ,inafanya nijihisi ni super man
Hii kitu na mie huwa inanipata mara kadhaa katika usingiziKiukweli ndoto hii imekua ikinitokea kilamara, tena unapaa huku watu wengine wanakutamani unavyoelea angani bila mabawa! Yaani nikitendo chakujikaza tu mwili (kukakamaa) tiyari unajiona kuanza kuiacha ardhi
Bilashaka mkuu! Mimi nilidhani huenda inanitokeaga mimi tu, kumbe tupo wengi? Isitoshe imekua nindoto inayoishi tangu nikiwa mdogo mpaka leo nafamilia yangu bado inanijia! Yaani haipiti miez 3 naota! Hata usiku wajana nmeota! Kila nikiwauliza watu wanaonizidi umri maana ya hii ndoto sipati majibu yakuridhisha! Hivyo nikaamua nijaribu hapa jf.Hii ndoto tunaota wengi aisee hata mimi since I was 10 till today... asante mtoa mada majibu yatakayopatikana hapa litawasaidia wengi.
Salaam wana jamvi!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka! Nmekua mwingi wa ndoto za kuelea angani kila mara! Haiwezi pita miezi 3 bila kuota napaa! Tena kwamikogo kabisa! Ndoto hii ilianza tangu nikiwa namiaka 11 mpaka leo 28 haijawahi kunisaliti! Sasa wajuz wamambo ya ndoto ebu mnisaidie tafsiri ya ndoto hii.
Nilikua naota hizo ndoto kwa miaka kadhaa mara ya mwisho ilikua 2017. Baada ya hapo zikakata baada ya kufanyiwa dua... ila nilikua ninapaa kwenye ndoto Ethiopia Airlines nyuma