Ngonidema
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,775
- 2,750
wewe ni kipofu wa kiroho, kama haujui nakwambia Lema ni Mshindi na atazidi kushnda ktk yeye amtiaye nguvu yaan(kristo Yesu)Si unamuona Lema anavyoshindwa?
wewe ni kipofu wa kiroho, kama haujui nakwambia Lema ni Mshindi na atazidi kushnda ktk yeye amtiaye nguvu yaan(kristo Yesu)Si unamuona Lema anavyoshindwa?
Lema ni wakala wa Shetani.wewe ni kipofu wa kiroho, kama haujui nakwambia Lema ni Mshindi na atazidi kushnda ktk yeye amtiaye nguvu yaan(kristo Yesu)
Kwasabab ulikiwa umeingiziwa mpini tiyari, hvo si rahis kuona vya wenzako.Mbona sikuviona hivyo viuno vikizungushwa?
Matusi hayasaidii ndugu. Jirekebishe. Huo sio ujanja bali ni ujuha.Kwasabab ulikiwa umeingiziwa mpini tiyari, hvo si rahis kuona vya wenzako.
Ulikuwa bz na chako
Kwa maoni yangu ambayo si lazima yakubalike kutangaza hadhari eti mtu mzima kajinyia ni matusi.Matusi hayasaidii ndugu. Jirekebishe. Huo sio ujanja bali ni ujuha.
Nitoe maoni kama nani?Kwa maoni yangu ambayo si lazima yakubalike kutangaza hadhari eti mtu mzima kajinyia ni matusi.
Hebu nawe toa maoni yako kuhusu hilo.
Ulikuwa wapi wakati wa "push up"Mbona sikuviona hivyo viuno vikizungushwa?
Sijui.Ulikuwa wapi wakati wa "push up"
Watakukumbusha wanaokuuguzaSijui.
Na wewe kibwengo ulikuwa wapi?Watakukumbusha wanaokuuguza
Toa maoni yako kama Mtanzania mwenye nidhamu na unayewajali wazazi wako wakiokufundisha adabu na tabia njema.Nitoe maoni kama nani?
Sina muda na upuuzi.Toa maoni yako kama Mtanzania mwenye nidhamu na unayewajali wazazi wako wakiokufundisha adabu na tabia njema.
ulikuwepo enzi za mkoloni mkuu?Nchi hii bora enzi za mkoloni kabisa sasa kama unataka kustadi kesi ya kuota pia unazuiwa.
Hayo ni maoni yako pia na yanaheshimika...Sina muda na upuuzi.
Mungu sio kama wwNamwomba sana Mungu yale maono ya Lema yawe ya ukweli.
Wala siyo kama wewe pia.Mungu sio kama ww