Kuota ni hatari kuliko kuua?

Kuota ni hatari kuliko kuua?

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Waliouwa tunaruhusiwa kuwaona magereza lakini aliyetoa maono/ ndoto siyo mahakamani wala magereza tunazuiwa kumsalimia wala kwenda kusikiliza kesi yake... Hii serikali ya Mungu inataka kuwaaminisha watanzania kuwa kuota ni hatari kuliko kuua....

Kwanini nasema hivyo juzi vijana wengi walikamatwa kisa wanaenda kusikiliza kesi ya Lema alieota kuwa asiyetajwa akiendelea kujifanya mungu atakufa kabla ya 2020, leo tena wafuasi waliofika magereza kwa nia ya kumjulia hali mbunge wao wamezuiwa lakini wakati tunazuiwa kuna jamaa walikuwa wanaenda kumsalimia ndugu yao mwenye kesi ya kuua wakaruhusiwa nikajiuliza sijapata jibu..watanzania naomba msaada wa swali hapo juu....
***Ukiwa upinzani huruhusiwi kuota na ukiota ni jela hakuna cha mdhamana***
 
Nchi hii bora enzi za mkoloni kabisa sasa kama unataka kustadi kesi ya kuota pia unazuiwa.
 
Kuna watu wanajiona wao labda wana undugu na Mungu wanafanya mambo hata kuvunja sheria na haki za binadamu kwa kumfurahisha mtu unawezaje kumzuia mtu kwenda kumsalimia au kuongea na mtu alionyeshwa maono na Mungu ambaye yupo magereza.
 
Back
Top Bottom