Kuonyeshwa mwenzi wa maisha ndotoni

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
1,053
2,423
Habari wadau...

Kwa wale ambao waliomba Mungu awape mwenzi wa maisha...Mungu akawaonesha kupitia ndoto picha ya mwenzi wake iwe wameshakutana tayari au hawajakutana na wakafanikiwa kuoana tupeni experience ilikuaje....muwatie moyo wale wanaoomba Mungu mwenzi wa Maisha
 
nisitoe ushuhuda ila nijuacho ni kitu kinachowezekana ila sio rahisi....kwamaana ndoa ni Jambo kubwa sana kiroho lililobeba baraka na anguko... Hivyo shetani pia analitumia kupitisha watu wasio sahihi...

Kusikia sauti ya Mungu ni suala linalohitaji muda mrefu na trials and errors nyingi....

Ila ni kuomba na kumuomba Mungu mwenyewe aingilie kati, unaweza kuwa na karama ya upako, miujiza, kutafsiri ndoto ila ukachanganyiwa mke asie sahihi...

Kilamtu anavigezo vyake hivyo ukimuomba Mungu mtu wa vigezo vyako atakuletea hadi ulipo na utakaa nae karibu (kazini, kanisani, vyuoni, mtaani,) atakuja na utakuwa nae karibu ila suala la kujua kuwa huyo mtu ndio baraka yako ni lako sio la Mungu tena.
 
Pia mfano unapenda wanawake wa sifa flani lakini kusudi lakoa maisha ni lingine Mungu ataua/ataondoa hizo sifa unazotaka ndio akupe mke kuendana na kusudi lako la kuishi...

Mwanzo 2:18 pale Anaposema "nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae" haimaanishi sifa unazotaka uzuri, shape labda rangi lakini kufanana katika kusudi la maisha

Unakuta mtu anakusudi la kuwa mtumishi wa Mungu, Mungu hawezi kukuletea mke ambae ni muuza pub kwasababu hamkamilishani kwenye kusudi la maisha...

Japo inawezekana sana tu mtumishi kuoa mtu wa pub ili Mungu aokoe kusudi la mtumishi kuwa mtumishi na ili aokoe kondoo mwenye utumishi aliekuwa anauza pub
 
Ni kweli jaman wakat me Niko mdogo nilikuwa naomba niolewe na mwanaume mwema mwenye dini kila nikiswali " sasa kuna kipindi nikamuota mkaka mmoja mweusi half alikuw mkubwa sana kwangu nna simfaham pia"
nilkuw n miak9. Wakati huwo
Basi toka siku hiyo niliamin ndoto yangu n kweli yule nilie muona nd alie niowa yey34. Mimi20
Ni imani tuu.
 
🤣🤣🤣 miaka 9 ulikuwa unaomba Mungu akupe mume?!
 
Ni kweli jaman wakat me Niko mdogo nilikuwa naomba niolewe na mwanaume mwema mwenye dini kila nikiswali " sasa kuna kipindi nikamuota mkaka mmoja mweusi half alikuw mkubwa sana kwangu nna simfaham pia"
nilkuw n miak9. Wakati huwo
Basi toka siku hiyo niliamin ndoto yangu n kweli yule nilie muona nd alie niowa yey34. Mimi20
Ni imani tuu.
Tunashukuru kwa kamba
 
Back
Top Bottom