Cassava JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 282 Reaction score 36 May 20, 2014 #1 Wakuu heshima mbele, miye mwenzen nimekwama. Nina Azam tv lakin ina setellite 1 tu. Nimepata kusikia kuwa inawezekana kuogeza setellite na hivyo kujipatia Chanel zaid. NAomba msaada wenu namna ya kuziongeza na frequence zake. Asante kwa elimu yako.
Wakuu heshima mbele, miye mwenzen nimekwama. Nina Azam tv lakin ina setellite 1 tu. Nimepata kusikia kuwa inawezekana kuogeza setellite na hivyo kujipatia Chanel zaid. NAomba msaada wenu namna ya kuziongeza na frequence zake. Asante kwa elimu yako.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,932 Reaction score 1,164 May 20, 2014 #2 https://www.jamiiforums.com/tech-ga...a-bure-kuhusu-azam-tv-46.html#post9564475Mkuu, ingekua vizuri kama ungetafuta thread inayozungumzia hayo mambo ili ujifunze kwa urahisi zaidi. Kumbuka kua wanaoleta hizi thread hua na moyo wa kutusaidia sisi hivyo tuwaunge mkono.
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...a-bure-kuhusu-azam-tv-46.html#post9564475Mkuu, ingekua vizuri kama ungetafuta thread inayozungumzia hayo mambo ili ujifunze kwa urahisi zaidi. Kumbuka kua wanaoleta hizi thread hua na moyo wa kutusaidia sisi hivyo tuwaunge mkono.
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 May 21, 2014 #3 Nitoe na 15,000 nije nkuwekee hizo Channel 20.