Kuongeza mbegu za kiume na speed ya mbegu hizi

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Wakuu naomba mnaofahamu njia au vyakula vya kuongeza mbegu za kiume.Naomba nieleweke ni mbegu na sio wingi wa shahawa.Pia kuongeza speed kwa zile zinazoenda kwa speed ndogo.Nitashukuru sana kwa kupeana uzoefu.
 
we unataka mbegu nyingi za nini wakati mbegu 1 inatosha kuleta watoto mapacha?Anyway mi najua njia za kuongeza wingi wa shahawa tu
 
Unaambiwa ili uwe na uwezo wa kuzalisha lazima mbegu ziwe na speed na kila mililita moja ya uzazo zisipungue millioni 20.Kama hazikidhi viwango hivi lazima utafute jinsi ya kuziongeza na pia kuziondolea uvivu wa kukimbia
 
Unajuaje kama hazina speed?
 
Hello Mkombozi,.

Umejuaje mbegu hazitoshi na hazina speed? Nenda hospital, mwone dk, pima, utaleta majibu hapa. Hope mambo yatakuwa mwelelemwelele.

njama

Wakuu naomba mnaofahamu njia au vyakula vya kuongeza mbegu za kiume.Naomba nieleweke ni mbegu na sio wingi wa shahawa.Pia kuongeza speed kwa zile zinazoenda kwa speed ndogo.Nitashukuru sana kwa kupeana uzoefu.
 
Jamani hii ishu msifanye masihara inatesa sna,bt ndugu jaribu kula mihogo mibichi,maini,viazi mviringo na maziwa fresh,utumbo kwa wingi vilevile kunywa au kula supu ya pumbu za mbuzi anza na hivyo kwa muda zen kama unakunywa pombe na kuvuta sigara acha,fanya zoezi kama kazi zako si za kutumia nguvu,kunywa maji mengi lita kwa siku sio mbaya sali kwa wingi,yesu atakusaidia he is always there when you call him
 
Kuna kitu kinaitwa Rose Tunda na Zabibu Kavu... kula sana hivi vitu vinasaidia kuongeza mbegu za kiume suala la kwenda spidi jitahidi sana kufanya mazoezi hasa kama ni mnene jitahidi kupunguza uzito na usipende kula vyakula vyenye mafuta.
 
Unaambiwa ili uwe na uwezo wa kuzalisha lazima mbegu ziwe na speed na kila mililita moja ya uzazo zisipungue millioni 20.Kama hazikidhi viwango hivi lazima utafute jinsi ya kuziongeza na pia kuziondolea uvivu wa kukimbia

Nadhani ulitaka kuandika million 200.
Pia kwa kawaida kuna mbegu hutembea taratibu (X-sperms) na ambazo hutembea haraka (Y-sperms) so nakushangaa unaposema unataka kuongeza speed ya mbegu ambazo zinatembea taratibu wakati ndio kawaida, haziwezi kufanana mwendo.
 
Fanya mazoezi na kula vizuri. Usinywe pombe. Kwa issue hiyo pombe ndio sumu, sio inapunguza speed tu ila inakata na mikia ya mbegu. Mwisho zinakuwa hazitembei kabisaa
 
Wakuu naomba mnaofahamu njia au vyakula vya kuongeza mbegu za kiume.Naomba nieleweke ni mbegu na sio wingi wa shahawa.Pia kuongeza speed kwa zile zinazoenda kwa speed ndogo.Nitashukuru sana kwa kupeana uzoefu.

Jaribu kula oysters na vyakula vyenye wingi wa folic acid na madini ya zinc (nyama ya kondoo, spinach, korosho, na kadhalika.)

Kula matunda, (kama komamanga na mengineyo yenye antioxidants nyingi).
 
Kuna kitu kinaitwa Rose Tunda na Zabibu Kavu... kula sana hivi vitu vinasaidia kuongeza mbegu za kiume suala la kwenda spidi jitahidi sana kufanya mazoezi hasa kama ni mnene jitahidi kupunguza uzito na usipende kula vyakula vyenye mafuta.
rose tunda ndio tunda gan??
 
Unaambiwa ili uwe na uwezo wa kuzalisha lazima mbegu ziwe na speed na kila mililita moja ya uzazo zisipungue millioni 20.Kama hazikidhi viwango hivi lazima utafute jinsi ya kuziongeza na pia kuziondolea uvivu wa kukimbia

Unatumia tochi gani kupima speed ya mbegu zako ukiwa unajamiiana na mkeo? Kwa mapapara zote hizi za kupima speed na tochi yako, hivi mkeo ana kuenjoy kweli? Maana inaonekana una concentrate sana kupima speed shinda tendo la ndoa na mkeo.
 
Kumbe kuna shahawa na mbegu!, mimi nilijua ndiyo hiyohiyo tu kitu kimoja, kumbe tofauti. Ndiyo maana misamiati ya semen na sperm huwa inanitatiza.
Kati ya shahawa na mbegu, sperm ni kipi na semen ni kipi?
 
Fanya mazoezi na kula vizuri. Usinywe pombe. Kwa issue hiyo pombe ndio sumu, sio inapunguza speed tu ila inakata na mikia ya mbegu. Mwisho zinakuwa hazitembei kabisaa
Zikiwa hazitembei zinakuwa ukikojoa hazitoki chapchap zinatiririka km kamasi
 
Jamani hii ishu msifanye masihara inatesa sna,bt ndugu jaribu kula mihogo mibichi,maini,viazi mviringo na maziwa fresh,utumbo kwa wingi vilevile kunywa au kula supu ya pumbu za mbuzi anza na hivyo kwa muda zen kama unakunywa pombe na kuvuta sigara acha,fanya zoezi kama kazi zako si za kutumia nguvu,kunywa maji mengi lita kwa siku sio mbaya sali kwa wingi,yesu atakusaidia he is always there when you call him
hii ni funny
 
Sasa hadi yesu tena, yesu anaokoa roho au atakutilia mimba km miujiza, ukiona bado gonga gemu mwagia mbegu hadi shamba liote, kaza kiuno mengine achia yaendelee, maana km umepima ukaona una low concentration of sperms bas piga gemu siku za hatari ili uongeze chance ya kuconceive, na pia pima afya ya mama km iko ok kutoa yai na kusafirisha mbegu, maana mbegu zinakaa hata siku 4 km conditions ziko ok kwenye uzaz wa mama, piga gemu saaafi
 
Kumbe kuna shahawa na mbegu!, mimi nilijua ndiyo hiyohiyo tu kitu kimoja, kumbe tofauti. Ndiyo maana misamiati ya semen na sperm huwa inanitatiza.
Kati ya shahawa na mbegu, sperm ni kipi na semen ni kipi?
Semen ndo shahawa sasa zinazobeba mbegu ndani yke. Sasa uzito, wepesi wa semen ndo zitadetermine speed na maturity or imaturty ya mbegu ktk kutungisha mimba
 
Fanya mazoezi na kula vizuri. Usinywe pombe. Kwa issue hiyo pombe ndio sumu, sio inapunguza speed tu ila inakata na mikia ya mbegu. Mwisho zinakuwa hazitembei kabisaa
Kwa hiyo unataka kusema kwamba pombe ina panga la kukata mikia ya sperm? Mbona wazee wetu wanakula maji hatari na wamezaa watoto 15+
 
Babu yangu alikua anapiga mtungi tangu hajawazaa watoto wake na hadi anafariki alikua bado anapiga, yaan alikua anatengeneza wine mwenyewe na alikua na nguvu hadi uzeeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom